Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania.
Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta ya uvuvi nchini Tanzania. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na:
1. Uvuvi haramu: Uvuvi haramu umekuwa tatizo kubwa sana nchini Tanzania ambapo wavuvi hawafuati sheria na taratibu za uvuvi zilizowekwa. Hii husabisha upungufu wa samaki na kuathiri...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika.
Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
"Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti
"Namshukuru...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi.
Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25
Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000
Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21
➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84
➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36
Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11
➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07
➼ Misaada -...
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote.
Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
Mimi ni mfanya biashara ya chakula cha mifugo kama pumba na mashudu.
Ukinunua mashudu au pumba,ili kusafirisha kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inatakiwa kuwa na kibali ambacho kinatolewa na wizara kwa kuomba kwenye mfumo wa Mifugo Integrated Management Information System(mimis) ambao ulikua...
Wananchi waliokuwa wakifanya shughuli zao katika Mto Katuma ulioko Kata ya Sitalike, Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameomba kurudishiwa pesa zao walizotoa kwa ajili ya kukatiwa vibali vya uvuvi ambavyo havikuainisha eneo rasmi ya kufanyia shughuli hiyo.
Meleji Mollel ambaye ni Afisa...
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024.
Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria kwa watu kutofanya uvuvi. Kila mkoa ambao ziwa lipo, kuwe na eneo tengefu la mazalia ya samaki, wavuvi...
Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka Kwenye hiyohiyo bahari nyekundu Iran wanatumia wanamgambo wa Houthi kuteka meli za wateule Israel na...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.
Waziri Ulega amesema...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi.
Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
Ndugu zangu habari za leo? Bila shaka nyote mko salama, wale walio na magonjwa au shida mbalibali mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu ninaomba kufahamu kuhusu ushuru wa boat ya uvuvi ya ukubwa wa 15m kwa 3m pamoja na upatikanaji wa vibali vya uvuvi.
"Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye hajalipa Shilingi 5,000 anahangaika kuvua apate Shilingi 5,000 akulipe hatuoni sababu ya kukamata chombo...
Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.