Utangulizi
Neno “Utawala Bora na Uwajibikaji” huonekana kulenga shabaha yake katika utendaji wa uongozi na mamlaka za “juu” katika Taifa, Bara na Dunia kwa ujumla; na mtazamo huu ndio kikwazo kikubwa zaidi cha kufikia utawala wenye sifa ya kuitwa “bora” na uwajibikaji wenye maendeleo chanya...
Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika mchakato wa utoaji huduma. Ili kulitimiza hilo, taasisi zimekuwa zikitumia njia mbalimbali...
Katika mada yetu mwaka huu, kama we ni kiongozi jiulize maswal adilifu, nini maana ya uadilifu? Je, Kama viongozi, mnaongoza watu wenu kwa uadilifu? Je, nini hutokea kiongozi Anapokosa uadilifu?
Jiulize maswal adilifu:
• Je, ninashuku kwamba kitendo Fulani kinaweza kuwa cha haramu au...
Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa JamiiForums kwa kuandaa na kutoa nafasi hii ya kipekee kwa wananchi. Huu ni mtazamo wa mfano mzuri katika uhuru wa vyombo vya habari kwa jamii.
Napenda nitoe maoni yangu kuhusu uwajibikaji.
Nitaanza kwa kufafanua maana ya neno uwajibikaji. Neno...
TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU
Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kadhaa zinazoathiri ufanisi na uwajibikaji katika sekta hii. Kwa lengo la kukuza utawala bora na uwajibikaji, mabadiliko yafuatayo yanaweza kutekelezwa:
Kuboresha uwazi na upatikanaji wa taarifa...
Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio watoto wao.
Huu sio uwajibikaji kwenye malezi Kila mwana jamii natakiwa kuhusika moja kwa moja kwenye...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA FAMILIA ZETU.
Utawala bora ni mfumo wa utawala unaosimamiwa na kanuni na misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, utawala wa sheria, uwazi, na haki. Ni mchakato unaolenga kuhakikisha kuwa serikali na taasisi za umma zinatekeleza majukumu yao kwa...
Kupanga bei za mazao ni mchakato wa kuamua au kuweka thamani ya jumla ambayo wauzaji na wanunuzi wanakubaliana kwa ajili ya mauzo ya mazao fulani.
Kupanga bei za mazao inaweza kufanywa na pande tofauti, kama vile serikali, vyama vya wakulima, vyama vya ushirika, au wafanyabiashara wengine...
UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHERIA NA HAKI
Siku moja tembo alimwona swala anakimbia kwa spidi kali sana akamsimamisha na kumuuliza, "ndugu yangu mbona unakimbia hivyo? shida nini? Huku swala akihema akamjibu" kijijini kwetu polisi wanakamata mbuzi wote waliopo kule." Kwa mshangao...
UWAJIBIKAJI KATIKA BAJETI YA NCHI NA KATIKA WIZARA .
UTANGULIZI
Uwajibikaji ni wajibu wa kutekeleza majukumu yako na kuhusika katika hatua na maamuzi unayofanya. Ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako, matokeo ya vitendo vyako, na athari zake kwa wengine. Uwajibikaji unahusisha kuchukua...
Tanzania inakabiliwa na tatizo la uwajibikaji duni kwa viongozi wa umma na watumishi wa serikali katika nyanja mbalimbali. Hali hii imesababisha kushuka kwa kiwango cha utawala bora na kuhatarisha ustawi wa jamii. Hata hivyo, teknolojia ya mawasiliano inaweza kutumika kuleta mabadiliko chanya...
Kilimo ni sekta muhimu katika maendeleo ya nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Kupitia kilimo, kuna uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii, ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya mkulima, kukuza uchumi wa taifa, na kupunguza utegemezi wa uagizaji wa chakula...
Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
Ni Dhahiri kuwa binadamu amebarikiwa uwezo asilia wa kung’amua mambo na kufanya maamuzi . Uwezo huo ni utashi. Utashi aghalabu hutegemea pia maarifa/stadi alizonazo mtu husika ili kufanya maamuzi.
Utashi wa binadamu si tu pekee unahusika na maamuzi, bali hujijenga kwenye misingi ya Utu wa mtu...
Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo.
Wazazi na wananchi wa...
UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania?
Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
Utangulizi:
Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.