Mada kuu: UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali ya kutimiza majukumu bila shuruti. Uwajibikaji unahusisha kufanya kazi kwa bidii, kujitoa katika shughuli za kijamii, kutunza familia na kulitumikia Taifa kwa nidhamu kubwa na uzalendo.
Kwa mataifa yaliyoendelea kama vile CHINA, JAPAN, MAREKANI n.k...