Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
asali
chawa
cost
hadhara
kitendawili
mama samia
mbowe
mikutano
mikutano ya hadhara
nani
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
uwajibikaji
Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe.
Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki.
Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba.
Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi uwanjani hapo. Pia hata kuleta mkanganyiko unaoiumbua serikali hususani ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi...
Kupigwa na kujeruhiwa kwa Msichana Songwe:
Tunataka Mkuu wa Wilaya awajibishwe haraka!
Utangulizi
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kwa Msemaji wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii, tumepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha Mkuu wa Wilaya wa Songwe Ndg. Simon Peter Simalenga kumshambulia binti...
Imezoeleka watu kufahamu biashara haramu ya binadamu kama biashara inayofanyika kwa kuvuka mipaka, yaani kati ya nchi moja kwenda nchi nyingine, lakini ukweli ni kwamba biashara haramu ya binadamu imeshamiri sana hata ndani ya mipaka ya nchi.
Vijana hawa wengi unaowaona wanatembea barabarani...
Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya.
Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta na mgonjwa wa upasuaji, anauliza wanandugu wazi Bahasha yangu iko wapi?
Hamjui kamshahara kenu ka...
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama.
Maji hayo ambayo...
Tulipewa kazi ya kufanya makala na Taasisi ya WATED, ambapo ilifanyika mkoani Tanga, na ilitakiwa tulipwe na taasisi ya WATED wakishalipwa na Shirika la OHCHR ( Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights) baada tu ya kukabidhi kazi, na kazi ilikabidhiwa ndani ya wiki moja...
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu.
Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
Habari zenu wana jamvi.
Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari.
Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao.
Tunafaham...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mtu mmoja aliyejifanya kutumia jina la aliyekuwa Waziri wa ardhi,William Lukuvi na kwamba amemtuma na kuendesha mafunzo ya ujasiriamali visivyo halali Mkoani Kilimanjaro katika ukumbi wa polisi Moshi na kujipatia Tsh. Milioni 2.1 kwa wanafunzi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao.
Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu.
Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
Maana ya Uwajibikaji
Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi.
Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya.
Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
Luhanga Mpina ameyasema haya bungeni na kuhoji kuhusu mamlaka za uangalizi mahabusu kuwa wasimamizi wa mahabusu hizo akisema manyanyaso yanaweza kutokea na hakutakuwa wa kuwawajibisha kwasababu wao wenyewe ndiyo wasimamizi.
Akaongeza kuwa kutakuwa na mkanganyiko mkubwa wa kushughulika na kesi...
Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja,
Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati kama sijakosea kwa mujibu wa Vyanzo vya Taarifa vya Kiuchumi Uwajibikaji ndio nguzo pekee itayotupigisha hatua kwenda kwenye Maendeleo jumuishi.
Uwajibikaji ni moja kati ya nyenzo kubwa kwenye kuleta Maendeleo katika Taifa lolote duniani,Serikali ya Tanzania...
UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali au kitendo cha kuchukua hatua kutekeleza majukumu mbalimbali uliyo kabidhiwa na watu kimaandishi au kimaneno au kujikabidhi mwenyewe binafsi. Uwajibikaji ni dhana pana kuna uwajibikaji wa mtu yeye binafsi, uwajibikaji kwenye ngazi ya familia, uwajibikaji kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.