uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Opal

    Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
  2. Raghmo

    SoC03 Elimu Bora na Uwajibikaji: Misingi ya Mafanikio ya Kesho

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya mfumo wa elimu. Hivi sasa, kuna haja ya kuweka mpangilio mzuri wa mawazo na kuchukua hatua thabiti...
  3. M

    SoC03 Kuunda Mabadiliko ya Kweli: Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi

    Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
  4. The Burning Spear

    Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

    Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku. Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani. Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
  5. TAJIRI MSOMI

    SoC03 Mambo haya yakifanyiwa kazi na wadau (TRA, wananchi wafanyabiashara, wizara husika) itaongeza uwajibikaji wa kila mdau kwenye makusanyo ya kodi

    NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
  6. Mmawia

    Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

    Kweli ulevi haufai popote pale duniani. Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane. Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu? Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
  7. Street Hustler

    UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  8. Brightburn

    SoC03 Uwajibikaji mbovu wa watoa huduma kwa wateja

    Heshima kwenu wakuu. Leo nimeona tuzungumzie kuhusu baadhi ya watoa huduma kwa wateja kutoka kwenye makampuni/biashara mbali mbali wanavyosababisha kero kubwa kwa wateja wao kutokana na uwajibikaji wao mbovu kabisa! Niliwahi kusikia malalmiko mengi sana kutoka kwa watu tofauti kuhusu kupewa...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  10. A

    SoC03 Umuhimu wa utawala bora na uwajibikaji

    Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi. Lakini siku...
  11. Mwl.RCT

    SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
  12. N

    SoC03 Uwajibikaji au Utawala Bora katika Nyanja Mbalimbali

    Utangulizi, Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora huchangia katika kuimarisha uwazi, ufanisi, na usawa. Lengo la makala hii ni kuchunguza umuhimu wa...
  13. Mwesiga frolian

    SoC03 Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

    KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA UTANGULIZI Dhana ya utawala bora na uwajibikaji ni kama pande mbili za sarafu moja, ili kuwepo na utawala bora uwajibikaji ni nguzo muhimu ambayo ni ya msingi. Utawala bora huusisha usimamizi katika msingi mkuu wa ujumuishaji na ushirikishwaji wa wahusika...
  14. Shatisa Luck

    SoC03 Imani ya uwajibikaji kwa viongozi

    Utangulizi Imani ya uwajibikaji ni hali ya kuamini katika ufanisi wako ili kuleta mafanikio. Kuwajibika kwa kiongozi sio hiari bali ni lazima kwa ajiri ya watu anaowatumikia. Kiongozi ni mtu yeyote mwenye sifa na anaongoza kundi au kikundi cha watu katika ofisi au jamii au nchi. Kiongozi anakuwa...
  15. Eng CA Christopher

    SoC03 Uwajibikaji wa viongozi kuzitambua nafasi zao katika jamii

    Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa...
  16. Eng CA Christopher

    SoC03 Uwajibikaji kwa vijana na kutambua nafasi yao katika jamii

    Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii, ilihali wengi wao wakiwa ni wasomi wa elimu ya juu Mfano wa nafasi hizo ni Siasa Utunzaji wa...
  17. Leakage

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora katika Siasa nchini Tanzania

    Utangulizi. Katika miaka ya hivi karibuni, suala la uwajibikaji na utawala bora limekuwa likichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kisiasa nchini Tanzania. Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa taifa lolote. Makala hii inalenga kuandika juu ya mambo...
  18. P

    SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  19. kijana wa wahovyo

    SoC03 Utawala Bora na Mabadiliko ya Uwajibikaji katika Nyanja ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
  20. Roving Journalist

    Sarah Mwaipopo: Hakuna haki bila Uwajibikaji katika utumishi wa Umma

    HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwa hakuna haki bila uwajibikaji katika Utumishi wa Umma. Hayo yamesemwa leo tarehe 4...
Back
Top Bottom