Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema kuwa kuna makosa yaliyofanyika katika matumizi ya eneo la wazi la Biafra, Kinondoni, ambalo limeanza kutumika kwa shughuli tofauti na makubaliano yaliyokuwepo wakati eneo hilo lilipokabidhiwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
Kwa masikitiko makubwa, sisi wakazi wa Kinondoni tunapaza sauti zetu kulalamikia kitendo cha kumegwa kugawiwa kwa sehemu kubwa ya uwanja wa wazi wa Biafra kwa mfanyabiashara binafsi ambaye tayari ameanza ujenzi wa yadi ya magari ya kuuza.
Hatua hii imechukuliwa bila kushirikisha wananchi ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.