uwaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

    Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani. Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka hadi wamtumbue wao? Sawa mamalka zimekasirika, hana kosa kwa mujibu wa sheria, chama kinamuita...
  2. sky soldier

    Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  3. AbuuMaryam

    Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  4. Titicomb

    Prof. Mbarawa umejiandaa baada ya uwaziri kuisha? Wenzio wawili wana kinga ya kutoshitakiwa

    Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao. Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
  5. Zanzibar-ASP

    Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  6. Suley2019

    KWELI Cleopa Msuya ameshawahi kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu na Umakamu wa Rais kwa wakati mmoja

    Salaam Wakuu, Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja. Kuna ukweli hapa? Picha: Cleopa Msuya
  7. M

    Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  8. FaizaFoxy

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  9. GENTAMYCINE

    Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

    Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu. Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
  10. K

    Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  11. R

    Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  12. Mohammed wa 5

    Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

    Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri. Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay...
  13. ESCORT 1

    Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  14. M

    Waziri Mabula hatihati kutumbuliwa Uwaziri

    Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri...
  15. BARD AI

    Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

    Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu mpya utachukua Wiki 1 huku Wagombea 3 wakitakiwa kupitia mchujo Oktoba 24...
  16. butron

    Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

    Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
  17. saidoo25

    Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  18. M

    Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  19. Corticopontine

    Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  20. Suzy Elias

    Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake. Hilo la Lukuvi na Kabudi...
Back
Top Bottom