uwaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji siyo rafiki yangu tena atabaki kuwa jamaa tu, hajasababisha nipoteze Uwaziri

    Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles. Akizungumza na Salama Jabir wa Eatv Dkt. Kigwangalla amesema baada ya mzozo wa mkopo wa pikipiki Mo Dewji alimpigia...
  2. B

    Tafakari namna Kigwangalla alivyowadhalilisha watendaji chini yake, kunyimwa Uwaziri ni adhabu ya kumtosha?

    Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao. Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi...
  3. K

    Mbunge wako ana sifa ya Uwaziri?

    Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu Mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizi ya vetting...
  4. Mlalamikaji daily

    Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

    Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu" Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao. Kipekee siwezi kuwa mnafki nimefurahi wafuatao kukosa uwaziri maana tungeringishiwa...
  5. J

    Mchungaji Matsai: Watanzania tunatambuana kwa Utanzania wetu na siyo Dini zetu, serikali ijenge fly over Jangwani!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini. Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo. Kadhalika mchungaji...
  6. D

    Uwaziri siyo jinsia; haiwezekani kisa Jinsia tuwe na Mawaziri wabovu. Ili tusonge mbele tunataka viongozi makini bila kujali dini wala jinsia

    Nazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke! Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana! Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa...
  7. J

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa Mawaziri wataanza na kiapo kipi, cha Ubunge au cha Uwaziri?

    Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge. Je, kwa sasa hawa wabunge wapya akina Dkt. Dorothy na mwenzake itabidi waanze kwa Ndugai ndio waelekee Chamwino? Nawatakia...
  8. J

    Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

    Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri. Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti. 1. Prof Kitila Mkumbo 2. Mh Pauline Gekui 3. Mh Patrobas Katambi 4. Dr Godwin Mollel 5...
  9. B

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  10. jingalao

    Tuwaogope wabunge watakaofanya vituko ili wateuliwe kwenye uwaziri

    Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane. Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu...
  11. Miss Zomboko

    Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  12. Miss Zomboko

    Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  13. G Sam

    Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  14. mgt software

    Mashambulizi ya Katibu Mkuu na Katibu Mwenezi kwenda kwa Makonda yamekaa kimkakati kuonyesha habebwi. Akipita tu kuwa uwaziri huo

    Wana JF Mipango mikakati ya viongozi wakuu wakionyesha kuwa Makonda kawahi sana na ana tamaa ya vyeo vya juu wakati angali kijanam na wengine wakasema kuwa watoto wa miaka fulani wana tamaa mbaya, kumbe hiyo ni danganya toto ya kutufanya vipofu kuwa yametimia mwana wa mfalme kabigwa chini. Toka...
  15. Lord Diplock MR

    Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho. Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
  16. Course Coordinator

    Uchaguzi 2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  17. J

    Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  18. K

    Binafsi namuombea Luhaga Mpina arudi Bungeni na kuendelea na Uwaziri

    Mimi ni mwananchi wa kawaida sana kwa kweli ninamuombea Mhe. L. Mpina arudi mjengoni na kumuomba Rais Magufuli amteue tena kuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya uvuvi. Mhe. Mpina amefanya makubwa katika kipindi chake cha uwaziri. Pamoja na wengi kumlaumu kule mwanzo lakini sasa hivi watu wa...
  19. jingalao

    Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  20. J

    Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
Back
Top Bottom