Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares!
Angalia tatizo ni nini na mtupe maji!
Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious!
Mbunge Ummy take note of this!
Juzi kuna msanii amechoma Gari .
Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia .
Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu .
Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na kuweka hatarini watu kupatwa na magonjwa ya aina hiyo bila kuchukua tahadhari.
Inasikitisha kama sio...
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi.
Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Wanabodi (kwa sauti ya paskali),
Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza.
Baadae umeme...
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa.
Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA
Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet, hawa jamaa walifanya tafiti na wakaja na majibu yaliyoonyesha kuwa zaidi ya watu billion moja...
Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia?
Je inaweza kuwa vyote vitatu?
Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee...
Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa...
Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia usalama barabarani hususani 'Traffic' pamoja na wadau wengine, lakini bado kuna changamoto ya msisitizo wa matumizi stahiki ya 'service road' hasa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya barabara ambazo...
Bila ya serikali kuingilia kari kukomesha uzembe waTFF wananchi wa Tanzania watahuzunika maisha yao yote kwa matokeo mabaya ya timu ya Taifa {taifa stars}
Hivi TFF inatumia kigezo gani cha kumchagua kocha wa kuinoa taifa stars? hawa makocha wazarendo kama hawakuweza kuonesha ujuzi wa...
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru
Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza...
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu.
Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu kubwa ni wahusika kubweteka na kutoa majibu rahisi yasiyokuwa na chambe ya utatuzi wa tatizo...
Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi.
Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
Salaam Wakuu,
Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara.
Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya.
Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.