uzembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibosho1

    SoC04 Vyombo vya Habari za kiuchunguzi ndio suluhisho la uzembe na rushwa kwa Taasisi za Serikali

    Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza. Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini bado kunahitaji mengi zaidi. Miradi mbalimbali sa serikali inakwama au kuendelea taratibu tofauti na...
  2. Hakuna anayejali

    Hii inaonesha uzembe wa kukagua miundombinu

    Shirika la umeme Tanzania wakati mwingine mnalipa fidia kwa uzembe, au kusababisha hasara na majeruhi kwa kutofanya ukaguzi kwenye nguzo za umeme. Mfano tazama nguzo hiyo ilivyooza.
  3. Dr Matola PhD

    Usitarajie kuwa na ndoa imara kwa uzembe wako wa kwenda kuoa familia ya kiswahili swahili

    "Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya ndani haitakiwi kushikwa hovyo unamaanisha nini?" "Mbona video zingine unafanya vizuri tu kwa heshima...
  4. Jidu La Mabambasi

    Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

    Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema. Umeme ulikatika karibia nchi nzima. Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima. Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
  5. Roving Journalist

    Madai ya UDOM kuchelewesha vitambulisho vya Wanafunzi, chuo chasema chanzo ni uzembe wa Wanafunzi

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna hali ya sintofahamu kubwa kwa Wanafunzi wa Chuuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akidai kuna ucheleweshwaji wa vitambulisho na hivyo wanashindwa kufanya mitihani, uongozi wa chuo umetoa ufafanuzi. Awali, memba huyo alidai Sheria ya...
  6. Daydream

    Mwanaume kupigwa na mke wake ni uzembe wa hali ya juu

    Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi...
  7. Ghost MVP

    Masoko Kuungua ni Uzembe wa Mamlaka

    Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi. Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita...
  8. JanguKamaJangu

    Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  9. JanguKamaJangu

    Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  10. N

    Tanesco acheni uzembe mtaingiza watu hasara

    Habari wakuu, Kwa wiki nzima sasa Tanesco wamekuwa wakileta umeme mdogo kwenye baadhi ya maeneo hapa Dar kiasi kwamba kwa sisi ambao tunatumia fridge guard unakuta haiwezi kuruhusu umeme kuwasha friji kwa sababu umeme ni mdogo na kupelekea vitu vilivyohifadhiwa ndani ya friji kuanza kuharibika...
  11. K

    Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  12. S

    Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  13. Roving Journalist

    Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi

    Kufuatia hoja mbili kuhusu kilichotokea katika Hospitali mbili za Mkoani Tanga, mamlaka zimetoa majibu. Hoja zenyewe ni hizi hapa: = Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine = Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati...
  14. K

    Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati mama mtu akijifungua Hospitali ya Magunga - Tanga

    UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
  15. Ulongupanjala

    Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine

    Habari za asubuhi ya leo? Naandika kwa masikitiko makubwa. Jirani yangu hapa kwenye kota za Saruji Tanga amefiwa na mtoto wake wa kiume wa form four aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari ya Maweni kisa ni UZEMBE wa Madaktari na Manesi wa Hospitali ya Mkoa Bombo. Mgonjwa alifikishwa Jumanne...
  16. Nsanzagee

    Kuwa na shule zinazofua hadi nguo za watoto, ni matokeo ya uzembe na kupenda kuiba mali za umma!

    Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko? Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii, Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake? Ataweza...
  17. S

    Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

    Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM. 2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya...
  18. Nyafwili

    Haki za wagonjwa zinawezaje kuhakikishwa hospitalini? Wanasheria wekezeni na upande wa afya ili kudhibiti matatizo yanayotokana na uzembe

    Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
  19. D

    Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

    Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad! Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo! Hadi sasa eneo hilo...
  20. M

    Uzembe wa Polisi: Madeleka agundulika mtoro jeshini baada ya miaka saba

Back
Top Bottom