Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
132
Reaction score
87
Wadau,

Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya kwa ustadi , as if wananchi tumewatuma wakayafanye hayo wanapokuwa madarakani. Kitu kikubwa cha msingi ambacho imeshindwa kufanya kwa zaidi ya miaka 60 ya Uhuru ni kuleta maendeleo ya kweli kwenye nchi.

Mfano mwepesi ni crisis inayoendelea sasa katika Idara ya Uhamiaji, ambapo kuna sintofahamu kubwa kuhusu mifumo ya utoaji wa passports ( passport kubwa) na Emergency Travel document ( passpoti ndogo / ya karatasi) .

Pasipoti kubwa kwa sasa si ajabu kukaa miezi toka ulipotuma maombi mpaka unapokuja kuipata , mimi mwenyewe nina miezi sasa toka nilipoomba , lakini mpaka jana , majibu ni kuwa bado nisubiri kwa wiki kadhaa.

Baada ya kuona safari imefika nikaona nijaribu kutafuta emergency travel document , huku nako toka Jumatano mfumo wake tunaambiwa uko down kwa kuwa server zina tatizo, na kuwa tuahirishe safari . Kwa mtu yeyote mwenye knowledge kidogo ya IT , atajua kuwa tatizo la server kuwa down kwa CRITICAL NATIONAL SYSTEM kama ya passports kwa siku 4 ni AIBU KUBWA SANA kwa Taifa, and it shows how INCOMPETENT , LAZY AND COMPLACENT , Idara ya uhamiaji na serikali ya CCM kwa ujumla wake ilivyo.

Kwa hali hii ingekuwa ni nchi zinazojielewa , Mkuuwa Jeshi la Uhamiaji na Waziri wake wa mambo ya ndani walitakiwa wawe wameshajiuzulu kwa UZEMBE huu mkubwa.

Bila shaka uwepo wa CCM madarakani , na the culture iliyotengeneza ya uzembe , kutokuwajibika, kutokujali na kuwaza tu interests zake over interest za nchi na wananchi kutaendelea kuifukarisha Tanzania na Watanzania milele.

Picha hapo chini ndio hali halisi ya mfumo wa emergency Travel Document mpaka sasa

1755320147091.png
 
Mkuu naungana Nawewe Asilimia 100% .

Tunaongozwa na watu wajinga sana ambao vipaumbele vyao ni Kulinda Masilahi yao na Rafiki zao .

Wewe Fikiria, inakuaje Mpaka Leo miaka 60 ya Uhuru , Passport Kubwa ni mpaka ukae Miezi Mitatu na kúendelea ? Hiii inashangaza sana.

Lakini ajabu ni kua hiyohiyo Passport Kubwa unaweza ipata Ndani ya Siku Mbili kama UTATOA PESA ISHUGHULIKIWE CHAPCHAP .

Unagundua, kumbe suala hapo sio Changamoto , Bali Bali changamoto iwe ni Pesa yako !!! .

Sasa Tazama zhata Passport ya Muda mfupi hiyo nayo MFUMO MZIMA TANZANIA HAUFANYI kazi , ALAFU YAMEKAA YAMERELAX MIGUU JUU, YAKILICHUKULIA NI SUALA LA KAWAIDA KABISAA AMBALO WATALISHUGHULIKIA TARATIBUTARATIBU., HAWANA HARAKA KABISA !!!.

Unaweza dhania upo kwenye Nchi ilolaaniwaz lakini ndio kweli, Hii CCM ya Samia imelaaniwa sanaz inaongozwa na watu wajinganoo, Wazembe kupitiliza.

HAYATI MAGUFULI, ALISEMA UMEME USIKATIKE TENA, KWELI HAUKUKATIKA.
 
mKUU,

Ni mambo ya aibu sana , kwamba vitu vya msingi kama hivi hakuna anayejali , ni kam vile tunaishi kwenye FAILED STATE.

Hakuna anyewaza ni hasara kiasi gani watu wanapata kwa kushindwa kusafiri , maisha ya watu wangapi yako hatarini, opportunities ngapi kama wananchi na Taifa kwa ujumla tunazikosa kwa kushindwa kusafiri. Obviously kwa kuwa ni vilaza ndio waliokaa huko uhamiaji hakuna mwenye akili ya kuwaza vitu vya namna , wao , ni kuwaz tu rushwa na interests zao tu
 
Hii haiwezi kuwa mbinu ya kuzuia watu wasiikimbie nchi ... En masses?
Tafakari kitendo cha kuzuia wapinzani wasisafiri nje ya nchi na pasi zao halali kuzuiliwa. 🤔
 
Yaani mkuu wa uhamiaji na waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu kisa wewe haujapata passport?
Na wale wengine ambao wamezipata nao wasemeje?

Kila kitu ni kujiuzulu tu?
Mbona chadema mmeshindwa kujenga hata ofs za kanda tu, mikoa hakuna, wilaya hakuna.. Mbona viongozi hawajajiuzulu?

Mbna mnashindwa kuprint hata zile kadi za uanachama kisa tu hamna printa (mbna hao majuha yenu hayajajiuzulu?)

Tone tone ipo wapi? Mbona wale wezi wake hawajajiuzulu?

Acheni upumbavu, uhamiaji siyo redbrigade.
 
Hii nchi ngumu kila sehemu
Mkuu,

Ni ngumu kwa kuwa tumeruhusu viongozi na watendaji wabovu kila kona ya nchi , na hii itaendelea kutocost kama nchi na personally kila mmoja kama kwenye situation hii ya watu kukosa kusafiri na kuaccess opportunities mbalimbali
Ccm wanachoweza kufanya kwa haraka ni kufanya "harambee" za kinafiki.
badala ya kufanya harambee ya kununua server mpya za uhamiaji tupate passports na kuajiri watu comptenet wenye moyo wa kazi badala ya hawa vilaza waliojazana uhamiaji
 
Chawa anaishia kulike tu comment yako mkuu, hawezi kutolea ufafanuzi uzembe unaoathiri maisha ya watu moja kwa moja kama hivi kwa sababu ya ubovu wa viongozi anaowapigia debe humu kila siku
Katika hili huwezi kumuona akitiririkwa na machozi kwa furaha 😅
 
Kuna mdau mmoja humu huwa anasema uwenda Tanzañia ni channel ya Vichekesho huko mbinguni.

Lakini Mzee johnthebaptist anayo bila shida yoyote
Ingekuwa ni vichekesho kwenye mambo yasiyo ya msingi isingekuwa na shida sana, lakini kwenye mambo ya msingi kwa taifa na watu wake , inakuwa ni tatizo kubwa sana.
 
Passport mbona zinatengenezwa
Humu humu tz

Ova
 
Wadau,

Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya kwa ustadi , as if wananchi tumewatuma wakayafanye hayo wanapokuwa madarakani. Kitu kikubwa cha msingi ambacho imeshindwa kufanya kwa zaidi ya miaka 60 ya Uhuru ni kuleta maendeleo ya kweli kwenye nchi.

Mfano mwepesi ni crisis inayoendelea sasa katika Idara ya Uhamiaji, ambapo kuna sintofahamu kubwa kuhusu mifumo ya utoaji wa passports ( passport kubwa) na Emergency Travel document ( passpoti ndogo / ya karatasi) .

Pasipoti kubwa kwa sasa si ajabu kukaa miezi toka ulipotuma maombi mpaka unapokuja kuipata , mimi mwenyewe nina miezi sasa toka nilipoomba , lakini mpaka jana , majibu ni kuwa bado nisubiri kwa wiki kadhaa.

Baada ya kuona safari imefika nikaona nijaribu kutafuta emergency travel document , huku nako toka Jumatano mfumo wake tunaambiwa uko down kwa kuwa server zina tatizo, na kuwa tuahirishe safari . Kwa mtu yeyote mwenye knowledge kidogo ya IT , atajua kuwa tatizo la server kuwa down kwa CRITICAL NATIONAL SYSTEM kama ya passports kwa siku 4 ni AIBU KUBWA SANA kwa Taifa, and it shows how INCOMPETENT , LAZY AND COMPLACENT , Idara ya uhamiaji na serikali ya CCM kwa ujumla wake ilivyo.

Kwa hali hii ingekuwa ni nchi zinazojielewa , Mkuuwa Jeshi la Uhamiaji na Waziri wake wa mambo ya ndani walitakiwa wawe wameshajiuzulu kwa UZEMBE huu mkubwa.

Bila shaka uwepo wa CCM madarakani , na the culture iliyotengeneza ya uzembe , kutokuwajibika, kutokujali na kuwaza tu interests zake over interest za nchi na wananchi kutaendelea kuifukarisha Tanzania na Watanzania milele.

Picha hapo chini ndio hali halisi ya mfumo wa emergency Travel Document mpaka sasa

View attachment 3442696
Yani ni kero,yangu inaenda kumaliza miezi miwili sasa,mpaka unavunja ratiba zako muhimu,sijui tunashida gani hii nchi😏

Ni kero,yangu inaenda kumaliza miezi miwili sasa 😏
 
Back
Top Bottom