Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu.
Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
Mvua zinanyesha Dar. Huku kwetu Mikocheni hamkati umeme. Je hii si hatari? Kawaida huwa likitokea wingu tu mnakata umeme. Lakini nashangaa hadi inanyesha mkataji amezubaa tu.
Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.
Tamaa ni moja ya sifa kuu inayowatafuna vijana wengi sana hasa wenye kupenda vitu vyenye gharama kuzidi uwezo wao.
Sikuhizi kwenye makundi mengi ya vijana ili uonekane kijana wa kisasa inaaminika inabidi uwe na simu nzuri zenye brand kubwa kama iphone, Samsung, Google pixel, Nokia, n.k.
Kijana...
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo?
Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.
Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga.
Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.
Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
Ni Tanzania pekee Kati ya nchi zote nilizosafiri Afrika unakuta mtu kaacha duka lake wazi kabisa katoka hajaacha mtu wala nini Sasa cjui ndo uaminifu sana au nini au hata Km kaacha mtu basi kafunga kasepa.
Jana nlikuwa Mapinga pia maduka kibao ivyo Yaani akili zetu zimelala wateja wanakuja wao...
Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe!
Atayefungwa kataka mwenyewe!
Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira...
Habari waungwana!
Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo.
Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
Hello mamboz JF,
Nauliza swali tu katika pitapita zangu na kuishi mikoa ya pwani wanawake wengi mikoa ya pwani hawana minyama uzembe.
Hivi wao wanaishije na wana lishe ya aina gani, wana miili mizuri sana na hata kuzeeka hawazeeki haraka.
Siri yake ni nini?
Wadiz
Wizara ya Afya imebaini kuwepo uzembe katika utoaji wa Chanjo za Magonjwa kutokana na Serikali kuwekeza nguvu kubwa katika Chanjo ya #UVIKO19 na kusahau Chanjo za magonjwa mengine.
Waziri wa Afya #UmmyMwalimu, Amesema hali hiyo imeleta madhara makubwa kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Surua na...
Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa.
Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya watu wakijinyima kula, kutumia dawa za asili, za kisasa na kufanya mazoezi ili kupunguza vitambi na uzito, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) imekuja na njia salama ya kuwawekea puto tumboni wenye matatizo hayo kwa Sh4.2 milioni.
Tayari watu wameanza...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi.
Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
Salum mtumbuka,
Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo.
Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
Ndege ya Precision air iliyoanguka katika Ziwa Victoria Bukoba, Tanzania, November 6, 2022
Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi unaoendelea kuhusu ajali ya ndege ya Precision nchini Tanzania inasema kwamba Maisha ya watu yangeokolewa endapo maafisa wa uokoaji wangeajibika kwa muda unaofaa.
Licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.