Ni uzembe. Maneo haya mawili ndiyo yanaweza kuelezea kilichotokea katika ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria mjini Bukoba na kusababisha vifo vya watu 19.
Ndege hiyo ilianguka takribani mita 100 kutoka ulipo Uwanja wa Ndege wa Bukoba, ikiwa na watu 43...
Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani.
Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka.
Someone must take...
Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika.
Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
Habari,
Afya ni sekta nyeti sana ambayo sekta hiii ikiyumba ,sekta zingine zote zimeyumba.Tujiulize tuna matabibu wanaotegemea nadharia au tunamatabibu wanafanya kazi kwa moyo.?
Mwaka 2003 mama Yangu mzazi alienda katika hospitali moja, njiani iringa ,ilikuwa hospitali nzuri tu ,alienda...
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza.
Matatizo ya mtoto Nassoro...
Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi
Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.
UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu...
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.
Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi.
UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au...
Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.
Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana...
Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni.
Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama.
Taarifa zilizopatikana kituoni...
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani.
Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
Habari wana jamvi,leo nimekuja na thread hii. hili pengn kama kuna mtu,anaweza kujikuta katika hali kama hii,pengine wawe waangalifu .
Ep1
Mimi ni mzaliwa wa pili katika familia yetu ,familia yetu ilikuwa ya watoto sita .mama yetu alifariki tukiwa bado wadogo .tukabaki na baba ambaye alikuwa...
January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.
Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji?
Leo hii tungekamilisha JNHP...
Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic.
DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga, wao hukwamishwa na mavita vita tu japo hayapo nchi yote.
Wawekezaji hii ndio fursa sasa, kawaida...
Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa.
-...
Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa.
Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT.
Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.