KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
132
Reaction score
87
Wasalaam ndugu zangu,

KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?

Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka jumatano mchana, ukiuliza watu wa Immigration wanasema kuwa server za mfumo zina tatizo, yaani kweli server iko down toka Jumatano mpaka sasa hivi na watu wanajibu kirahisi namna hii , na mbaya zaidi hakuna taarifa rasmi kutoka uhamiaji , wala apology yoyote , kwa jambo zito kama la utoaji wa hizi documents za kusafiri na jinsi ambavyo watu wengi wanaendelea kuathirika na tatizo hili?

Hali imekuwa mbaya zaidi kwa kuwa passport kubwa nazo zimekuwa zinatoka kwa speed ya konokono, mimi mwenyewe nikiwa ni muhanga , niliomba passport kubwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita lakini mpaka sasa haijatoka, nikaamua nikimbilie kwenye emergency travel document kwa kuwa tarehe ya safari imefika , huku nako naambiwa system iko down eti niahirishe safari .

Kwa nini hii nchi tunakosa watu serious kwenye mambo ya msingi kama haya? Idara kubwa kama ya uhamiaji inashindwaje kusolve tatizo la server ? kama watu wao wa IT ni vilaza kwa nini wasiombe msaada hata private sector , ili immigration iondokane na aibu hii kubwa ?
 
Kwa nini hii nchi tunakosa watu serious kwenye mambo ya msingi kama haya? Idara kubwa kama ya uhamiaji inashindwaje kusolve tatizo la server ? kama watu wao wa IT ni vilaza kwa nini wasiombe msaada hata private sector , ili immigration iondokane na aibu hii
Pole sana, Hii ndio Tanzania .. Vilaza kila sehemu wanachofurahia ki kuchezea WiFi tu ofisini

Head wa state ndio anaetazamwa akiwa legelege hata taasisi zinakuwa legelege.. maana hakutakuwa na uwajibikaji
 
Hali Halisi ya ya hawa vilaza wa uhamiaji ni hiyo hapa chini , CRITICAL NATIONAL SYSTME kama ya utoaji wa passports iko down kwa siku nne , NI AIBU ILIYOJE KWA IDARA YA UHAMIAJI na Serikali ya CCM

1755320541049.png
 
Vp mkuu ulifanikiwa? Hivi hii Passport ya dharura si unaweza kuipata ukiwa popote ukaprint ukatumia?
 
Nataka kwenda migration wiki hili kwa jiri ya passport ya kitabu sasa sijuhi kitakachotokea huko nitaleta feedback hapa
 
Uhamiaji na Takukuru ilipashwa kuvunjwa kabisa.wapo wapo wanakula mshahara wa bure.
 
Don't be serious if you are surrounded by careless people 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wasalaam ndugu zangu,

KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?

Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka jumatano mchana, ukiuliza watu wa Immigration wanasema kuwa server za mfumo zina tatizo, yaani kweli server iko down toka Jumatano mpaka sasa hivi na watu wanajibu kirahisi namna hii , na mbaya zaidi hakuna taarifa rasmi kutoka uhamiaji , wala apology yoyote , kwa jambo zito kama la utoaji wa hizi documents za kusafiri na jinsi ambavyo watu wengi wanaendelea kuathirika na tatizo hili?

Hali imekuwa mbaya zaidi kwa kuwa passport kubwa nazo zimekuwa zinatoka kwa speed ya konokono, mimi mwenyewe nikiwa ni muhanga , niliomba passport kubwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita lakini mpaka sasa haijatoka, nikaamua nikimbilie kwenye emergency travel document kwa kuwa tarehe ya safari imefika , huku nako naambiwa system iko down eti niahirishe safari .

Kwa nini hii nchi tunakosa watu serious kwenye mambo ya msingi kama haya? Idara kubwa kama ya uhamiaji inashindwaje kusolve tatizo la server ? kama watu wao wa IT ni vilaza kwa nini wasiombe msaada hata private sector , ili immigration iondokane na aibu hii kubwa ?
We are surrounded by careless people 🤣 🤣 🤣 🤣 📌
 
Back
Top Bottom