uzembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni uzembe uliosababisha vifo 19 ajali ya Precision Air

    Ni uzembe. Maneo haya mawili ndiyo yanaweza kuelezea kilichotokea katika ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria mjini Bukoba na kusababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ilianguka takribani mita 100 kutoka ulipo Uwanja wa Ndege wa Bukoba, ikiwa na watu 43...
  2. Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

    Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani. Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka. Someone must take...
  3. Kwanini Viongozi wa Tanzania hawawajibiki kwa uzembe wao ila wenzetu wanakubali kuwajibika kwa tatizo ambalo siyo lao?

    Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika. Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
  4. SoC02 Jinsi nilivyopata Kisukari kutokana na kutokuwa na utayari wa kusomea utabibu na Uzembe wa matabibu na manesi katika Afya

    Habari, Afya ni sekta nyeti sana ambayo sekta hiii ikiyumba ,sekta zingine zote zimeyumba.Tujiulize tuna matabibu wanaotegemea nadharia au tunamatabibu wanafanya kazi kwa moyo.? Mwaka 2003 mama Yangu mzazi alienda katika hospitali moja, njiani iringa ,ilikuwa hospitali nzuri tu ,alienda...
  5. DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  6. Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  7. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu...
  8. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai. Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au...
  9. M

    Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

    Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa. Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana...
  10. Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
  11. Mawasiliano Ikulu wamedukuliwa? Au ndio uzembe na mahaba kwa Chadema? Zuhura Yunus yupo sawa?

    Hii nini? Zuhura Yunus ni bogas? 👇
  12. SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  13. S

    Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  14. Uzembe wa madereva watajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali za barabarani Zanzibar

    ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani. Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
  15. Je kwa Uzembe huu wa madaktari ulivosabababisha kumpoteza mdogo wangu,nilikosea kuwaacha ningechukua hatua??,(ukweli)

    Habari wana jamvi,leo nimekuja na thread hii. hili pengn kama kuna mtu,anaweza kujikuta katika hali kama hii,pengine wawe waangalifu . Ep1 Mimi ni mzaliwa wa pili katika familia yetu ,familia yetu ilikuwa ya watoto sita .mama yetu alifariki tukiwa bado wadogo .tukabaki na baba ambaye alikuwa...
  16. Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

    January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati. Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji? Leo hii tungekamilisha JNHP...
  17. DRC ndani ya EAC: Jumuiya sasa ina walaji milioni 280; ushindwe mwenyewe kwa uzembe wako!

    Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic. DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga, wao hukwamishwa na mavita vita tu japo hayapo nchi yote. Wawekezaji hii ndio fursa sasa, kawaida...
  18. Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  19. T

    Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa. Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
  20. Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…