uzito

  1. L

    Je, kulala kwenye floor kunapunguza uzito?

    Eti kulala kwenye sakafu kunasaidia uzito kupungua?
  2. Roving Journalist

    Mbeya: Ashikiliwa kwa tuhuma za kupatikana na nyara za Meno ya Tembo yenye uzito wa kilogramu 7.5

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
  3. BARD AI

    Daktari: Kama una Kilo kuanzia 80 na kuendelea unatakiwa kuwekewa Puto la Kupunguza Uzito

    Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
  4. Roving Journalist

    Watu 128 wanufaika na Huduma ya Kupunguza uzito uliopitiliza kwa kutumia Puto Maalum katika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum (intragastic balloon), ambapo huduma hiyo pamoja na kupunguza uzito imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuwawezesha wateja hao kutekeleza majukumu yao...
  5. BARD AI

    Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  6. safuher

    Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

    Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito. NAWASALIMU KWA JINA LA...
  7. Nyendo

    Je, lifti ikizidiwa uzito inafunga mlango?

    Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua. Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
  8. K

    Uzito wa Gambo na Lema sio sawa kwenye ulingo. Sio fair kwa Gambo

    Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha. Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
  9. Mamba_Mtoni

    Msaada: Nimeongezeka uzito kwa kasi ya ajabu; Kilogramu 9 ndani ya wiki 2 (72-81)

    Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100% (Mashamba 2, nyumba...
  10. JanguKamaJangu

    Ripoti: Nusu ya watu Duniani watakuwa na uzito uliozidi Mwaka 2035

    Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo. Ripoti imeonesha four billion changamoto hiyo inaanzia kwa Watoto na Nchi zenye kipato cha chini au cha kati Barani...
  11. BARD AI

    Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  12. E

    Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  13. JanguKamaJangu

    Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  14. Lycaon pictus

    Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  15. Pang Fung Mi

    Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

    Habari wadau, Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati. Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
  16. JanguKamaJangu

    Mkufunzi atoa hadhari kwa wamama wanaonyonyesha wale waliozidi uzito

    Mkufunzi wa Mazoezi kutoka Shirika la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (NCD), Dk. Waziri Ndonde amesema katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa mwanamke anayenyonyesha mwenye uzito kupita kiasi, anatakiwa kutumia dakika 150 kwa wiki kufanya mazoezi. Dkt. Ndonde alitoa angalizo hilo...
  17. T

    Kwa hiyo ccm wameanzisha taasisi ya kumbukizi ya mwalimu chini ya paul kimiti ili kuyeyesha uzito wa hoja za taasisi ya Butiku?

    Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii. Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
  18. Aaliyyah

    Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

    Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe...
  19. D

    Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

    Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua! Naomba kama kuna...
  20. S

    Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

    Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20. Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
Back
Top Bottom