uzito

  1. M

    Kwa miaka 20, sijaongezeka uzito hata kilo moja wala sijazeeka

    Kwa miaka 20 kilo zangu ni zilezile sijaota mvi au kuzeeka, nilizaliwa nao ni wazee mimi niko vilevile, vibinti vya miaka 20 vinaniambia mambo wakati ninesoma na mama zao. Hii hali inakera sipati heshima yangu, kuna mzee jirani yangu hajui jina langu huwa ananiita we kijana...sipendi. Kwenye...
  2. L

    Je, unaweza kupunguza uzito wakati unapochaji?

    Katika Kituo cha reli cha Brussels Kusini nchini Ubelgiji, abiria wanatumia baiskeli za kuchaji vifaa vya elektroniki vya mkononi kama vile simu za mkononi, kompyuta za mkononi au kompyuta ndogo
  3. L

    Almasi 2 zenye uzito wa zaidi ya wakia 100 zaoneshwa kwenye mnada wa Sotheby huko New York

    Almasi mbili zenye uzito wa zaidi ya wakia 100 zimeonyeshwa katika mnada wa Sotheby huko New York, nchini Marekani.
  4. Sky Eclat

    Unene na uzito mkubwa kwa binadamu linakuja kuwa janga la dunia

    Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe...
  5. sonofobia

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  6. peno hasegawa

    TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro ifuatilie malori yanayobeba soda kutoka kiwanda cha Bonite Bottlers kwenda Arusha usiku, yanazidisha uzito

    Somo limeeleweka. Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha. Cha kushangaza na...
  7. H

    Timu za taifa za Cameroon na Senegal ziungane tupate timu moja yenye uzito wa tani moja

    Kwanza niipongeze timu ya taifa ya mpira wa miguu ya cameroon kwa kupindua meza jana 5.02.2022 dhidi ya timu ya taifa ya burkinafaso baada ya kutoka nyuma kwa mabao 3 kwa bila na ndani ya dakika 20 za mwisho wakasawazisha na hatimaye kupata ushindi wa penalt kwenye mashindano ya afcon kumtafuta...
  8. Doctor MD

    Njia bora zaidi za kupunguza uzito 3-4 kg kwa mwezi kwa njia ya lishe

    LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
  9. Doctor MD

    Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako

    UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na hatari zaidi BMI Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
  10. Mpinzire

    Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  11. comte

    Wingi wa watu na uzito wa sauti zinazomtetea Mbowe zinamfananisha na Baraba wa kwenye Biblia

    6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji. 8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
  12. U

    Jinsi ya kuondokana na uzito pungufu

    Kuna wakati mtu unajiona wazi kuwa uzito wako upo chini na pengine ungehitaji ungeongezeka kidogo uzito na unene wako kwa ujumla. Tuachane na wale wanaotaka kuongeza sehemu za kukalia na mapaja kwanza, nitaleta dawa kwa ajili hiyo siku nyingine. Nazungumzia mtu anayetaka kuongezeka uzito na...
  13. emmarki

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
  14. Sam Gidori

    Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  15. C

    Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

    Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda...
  16. Nyendo

    #COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  17. T

    Kuna cha kujifunza hapa, inakuwaje dereva bodaboda ana kitambi na uzito mkubwa?

    Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu? Na haya ndio majibu Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda...
  18. Analogia Malenga

    Sera ya kupunguza uzito iliyotumika Mexico

    Mwaka 2013 Mexico ilitajwa na Umoja wa Mataifa kuwa na watu 32.8% ambao wamezidi uzito. Ili kudhibiti hilo serikali iliweka kodi kubwa kwenye vinywaji vyenye sukari. Katika hatua nyingine waliweka mashine zinazohesabu kiasi cha kuchutama na kuinuka ‘Squats’ ambapo waliweka mtu akipiga Squats 10...
  19. Analogia Malenga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

    THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA OFFICE OF THE VICE CHANCELLOR P.O. Box 23409 Tel: 255-22-2668992/2668445 Dar es Salaam, Tanzania Fax: 255-22-2668759 http://www.out.ac.tz E-mail: vc@out.ac.tz WARAKA WA TAHADHARI YA MAAMBUKIZI YA COVID 19 NA 21 8 Februari 2021, Dar es Salaam, Ndugu...
  20. Analogia Malenga

    Je, wajua Dubai ililipa gram 2 za dhahabu kwa kila anayepunguza kg1 ya uzito wake

    Dubai ni mji ambao na matatizo ya wakazi wake wengi kuwa na uzito ulipitiliza ambapo katika kukabiliana na tatizo hilo wakaja na sera ya Uzito wako katika dhahabu. Sera ilitaka mtu apunguze uzito kuanzia Kilogram moja ndani ya siku thelathini ambapo kila anayefanikiwa anapata gram mbili za...
Back
Top Bottom