Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo).
Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku...
Hii imekaaje wataalam!
Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!
Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali kadogodogo,
kabla ya kula, nikasimama na sinia langu la chakula kwenye mzani kilo zikasoma 81, ( maanake...
Njia hii kitaalamu inaitwa “Gastric bypass”. Ni aina ya upasuaji unaosaidia mwili kupungua kwa kubadilisha namna ambavyo tumbo na utumbo mdogo unashughulikia chakula. Upasuaji huu hulifanya tumbo kuwa dogo na kupelea tumbo kupokea kiasi kidogo cha chakula.
Baada ya kukatwa na kupunguzwa kwa...
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo, IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii...
Hodi wakuu wataalam wa mambo.
Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini?
Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za ajabu sana za kutenda mambo.
Mifano yake ni kwamba:-
i/ Damu ya Yesu.
Kuna watu wengi sana...
Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola.
Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola...
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio.
Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
NJIA ZA ASILI ZA KUKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO:
1. Tambua Mahitaji ya Karoli(Nguvu)
Kabla hujaamua jinsi ya kula, unapaswa kufahamu ni Kalori(Nguvu) kiasi gani unahitaji kwa siku. Hii inaweza kupatikana kwa kikokotozi maalumu cha Kalori (Nguvu) kinachotumia kimo, uzito, umri na shughuli za...
Huwa nashangaa kwenye shughuli za serikali au vyama vya siasa Bakwata huwa na mwakilishi mmoja sawa na madhehebu mengine kama KKKT, Anglican, Katoliki, TAG na Pentecostal wakati Bakwata ni Baraza kuu la waislamu wote.
Kwanini Bakwata isiwe na uwakilishi wa mashehe hata watatu ili kuleta uwiano...
SABABU SABA KWA NINI UZITO WAKO UTAKUJA KUKUUA NDANI YA MIAKA MITANO.
Uzito ni moja ya tatizo kubwa sana kwa sasa katika afya za walio wengi na madhara ya UZITO uliopitiliza ni makubwa na yanatisha sana kiafya katika maisha ya watu wengi.
Ikiwa watu wataelimishwa juu ya madhara mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.