Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda...