Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ?
Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele.
Sina ujuzi wala uzoefu wowote wa kujenga.
Kwenye usimamizi kitu pekee nachoweza labda ni ulinzi wa vifaa na kuhakikisha mafundi...
Kwa waalimu wenye uzoefu wa kufundisha wa miaka 5 na kuendelea kuna fursa nzuri sana hapa Login » IREX - International Research & Exchanges Board: Fulbright Online Application System.
Kama upo interested chukua hatua kuapply na pia unaweza kupata usaidizi kupitia ResearchLink International. Pia...
Hello,
Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii.
Wakuu nipeni tips, ikitokea...
Huyu raisi amebahatika kupita kwenye vyeo vyote vikubwa vya maamuzi.
Amekuwa senator wa Delaware kuanzia 1972 - 2009.
2009 -2016 makamu wa raisi wa Marekani
2021 - present: Rais wa sasa wa Marekani
Biden ana uzoefu mkubwa sana wa siasa za Marekani
Apewe hongera
Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika.
Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
Habari wana JF,
Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics.
Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant...
Hii December. Usishindane kutumia pesa na watu. Wakikualika nenda. Kanywe kale. Tunza hiyo pesa. Thamani yake utaiona January.
Mimi huwa January naokota mmoja mmoja nachinja... Hata sikimbizi. Naacha mlango tu wa home wazi.. kuku wanaingia ndani kufuata mahindi. Nakamata nachinja nasubiri...
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
Cadena alipoachiwa timu nikajua madhaifu yake makubwa.
Mechi ya kwanza timu ilicheza na asec. Wachezaji walikuwa wamejeruhiwa misuli na mazoezi ya ovyo na magumu. Walicheza dk 40 tu wakachoka haswa.
Toka alipoingia Simba viwango vya makipa viliisha kabis. Sio Ayoub, Aly Salumu na Yule...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani.
Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
Wote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao.
Unafikiri:
1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga?
2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga?
Karibuni!
Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa.
Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo...
Habari ndugu wana JF.
Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport.
Naomba...
Habarini ndugu watanzania wenzangu.
Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji wa biashara hii, route ambayo ni nzuri kwa kuanzia na details nyingine ambazo ni muhimu kwa mgeni wa...
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali itahakikisha inawalinda vijana kwenye soko la ajira kwa kuhakikisha ajira zao za kwanza kwenye utumishi zinazingatia vigezo vya utaalamu wa kada husika na sio uzoefu kazini.
Kikwete amesema hayo leo Jumatano Novemba...
Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.