Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!
Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
Habari wanajamii...
Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.
Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.
Malipo ya kazi nalipa...
Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance.
Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kuhitaji kusimamia, Awe na uwezo wa Kutumia computer programm eg Excell , access, or...
Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom.
Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
Hello hello Family! Wasalaam?
Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi.
Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
Wakuu nategemea kwenda US tarehe 7 mwezi wa 7 kama ntapata VISA ya B1, swali langu, nikijaza DS-160 leo, nawezaitwa kwenye interview kwa wakati au foleni imesha jaa? Documents zote ziko vizuri.
Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.
Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.
Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga.
Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi...
Jana nilitoka na demu moja ni liyanga lenzangu ili twende tukawazomee Simba wakifunga 3 na Wydad. Hili lijidada mashallah kweli kweli toka jumatano linaniambia twende sote tukaangalie mpira.
Tukapitia maeneo uhasibu kwanza tukachangamshe koo na kuchezesha taya kidogo. Tukaenda uwanjani. Kwenye...
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.
Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.
Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari
Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.