Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
Kwanza nitafurahi nikipokea pole baada ya kuibiwa mara 2 kwa njia ya mtandao.Vile vile wanaoibiwa na serikali itafaidika ikinisikiliza namna wizi huo unavyoweza kama si kuzuilika basi kupunguzwa kwa kiasi kikubwa..
Wezi daima watakuwepo isipokuwa kama kuna nia safi ya kuwashughulikia basi huwa...
𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎
(𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀)
13/10/2022
Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶.
Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana.
Hauta sahau nini katika maisha yako?
Salaam Kwenu wakuu!
kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.
Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.
1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?
2. Mtu akikuita...
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji...
VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI.
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki;
Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU.
Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu hivyo basi ninaweza kuwa na jambo la kusema kwa wadau wa maendeleo na wanajamii Forums.
Kimsingi...
Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto.
Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
namba mwenye uzoef na hii gari, naona inafafana na toyota wish, nimeiwazia toyota wish, ila sijaipend pua yake/face, naona honda stream inavutia zaidi.
Naomba mwenye uzoefu atiririke hapa, ili yafanyike maamuzi sahihi
Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO
mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.
Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
Na Umaru Napoleon Koroma,
Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone
Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga supernormal profit.
Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?
Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako.
Nawasilisha
Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.