Ebhan hapa Dar unaweza pita kwenye nguzo wamebandika tangazo la kazi mara nyingiiiiii mnooo mfano Ds max wanahitaji watu wa kazi wanakuandikia kabisa mshahara may be 275k nafasi za kazi zimegawanyika mfano.
Ofisini
Store keeper
Usambazaji
Udereva
N.k
Nataka kujua kwa wenye uzoefu wa hizi kaz...
Sisi watu wa kuja Dar ambao tuliletwa hasa na mambo ya shule nk kwa namna moja ama nyingine tumewahi kulizwa katika jiji letu hili pendwa.
Mimi nina matukio kadhaa ya wizi ambayo nimewahi kufanyiwa hapa Dar.
Tukio la kwanza, ilikua miaka ya 2009, enzi hizo nakaa maeneo ya riverside hapo karibu...
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya August ninachotaka kufahamu ni je naweza kusafiri 60 days before program state date?
Je kwenye pot of...
Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa.
Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2.
Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000.
Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili.
Wastani wa...
Habari za asubuhi wakuu,
Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.
Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa.
Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
Hello,
Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi
Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
Utangulizi
Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k
Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:
Sifa
1. Uwezo wa kutumia computer...
Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima.
Naomba kazi ya Graphic Design kama
• Kudesign logo
• Kudesign business cards
• Kudesign presentation
Yaani kiujumla any design kwa kutumia
• Adobe photoshop
• Adobe Illustrator
Uzoefu wangu ni miaka 2,
Sijafundishwa chuo nimejifunza...
Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku.
Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi)
Haya wiki ya kwanza picha...
Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!
Simba...
Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo...
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii
Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...
Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi.
Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao.
Uzi umeisha
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri...
Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao
Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo
Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki
Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo, usimamizi wake ukoje, faida na hasara...
Habari za majukumu ndugu zangu!
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.
Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.