Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma.
Karibuni.
Haya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
Wakuu Naombeni Msaada.
Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka nikapiga simu kadhaa kwa vipengele vyangu nikaona navyo havieleweki vinanipangia muda wa kuvitafuta...
Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !!
Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali.
Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
Ndo hivyo!
Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao si cha mchezomchezo!
Habari ndugu zangu!!
Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana.
Elimu:
Degree ya Computer Science
UWEZO
1. Programing (C++, Python, Visual basic)
2. Computer Mantainance and troubleshooting
3. Photocopy Mantainance and troubleshooting
4. Printer Mantainance and...
Habari za Muda huu Wakuu!
Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee.
Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
Namaanisha ile kwenda baharini na kuomba kibarua cha kazi ya kuanza kuvua samaki hlf ni mgeni na sina uzoefu wa kuogelea.
Nimeongea na wavuvi wenyeji Wenye mtumbwi wa kawaida tu, wamekubali nijiunge nao, je ni kazi yenye maslahi?
Malipo yake kwa siku ni tshs ngapi? Majukumu yangu yatakuwa...
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
1. Ndugu mmoja alipigwa marufuku kukatiza katika uwanja wa jirani akiwa anatoka kuteka maji. Huyu dada hakusikia akawa analazimisha, Yule mzee akampa onyo la mwisho, Kwa kiburi ndugu yule akalazimisha kupita. Siku iliyofuata alishangaa miguu inaishiwa nguvu na inakuwa ya baridi.
Tangu siku hiyo...
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana.
Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu
Addiction kama
1.punyeto
2.ulevi
3.uvutaji sigara
4.kuangalia porn
5.uvivu
6.kuwaza ngono all time(uzinzi)
N.k...
Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi
Umri ni miaka 21,20,18,
Elimu kidato cha nne,
Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani.
Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake.
Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/.
Wapo...
Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP.
Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote.
License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo.
Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
UZOEFU ,UONGOZI,JAMII,
SERIKALI,UVCCM TWENDE NA MWAKIBINGA
2012-Waziri wa Michezo Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ(DASJOSO)
2013-Mjumbe Uangalizi Uchaguzi Mkuu Nchini ZIMBABWE 🇿🇼 Kupitia SADC
2016-Mhariri Msaidizi Gazeti la JKT, Mwandishi wa Habari Makao Makuu JKT, Afisa Idara Matangazo Makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.