Habari wakuu,
Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali.
Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli.
Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito.
Ila ya meli wanatumia cubic meters.
Naombeni ndondo zake.
Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo.
Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo
Kisha huwaweka pamoja...
Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma..
Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
Naje wazee?
Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na...
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips.
Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu.
Basi...
Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
Kwanza niwatakie maandalizi mema ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya.
Wakati nachakata mipango ya mjini, nimewaza bulgur. Hii kitu walikua wanapewa watoto wa chekechea, kwa baadhi ya shule za chekechea jinini Dar es Salaam. Uji au chakula kilichopikwa na bulgur
Hii ni mwanzoni mwa miaka ya...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Heshima sana wakuu,
Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021.
Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine...
Naomba kufahamu kuhusu Bagamoyo kwa ujumla wake. Yaani chochote kuhusu Bagamoyo, mfano:
Tamaduni za watu
Life style ya watu wa huku
Uuzaji wa Ardhi ama viwanja ama mashamba
Kuhusu Kilimo
Elimu
Mwamko wa ki elimu ama ki Maendeleo Kwa raia waishio huku
Kabila waishio huku
Vyakula
Gharama za...
Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes.
Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu.
Uzoefu:-
Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu.
Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things.
Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk.
Watu...
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712
Gari iwe sienta...
Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano.
Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano:
Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako.
Pumzika kwa...
Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST.
Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.