uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    Je, hawa wanaouza akaunti za instagram ni matapeli? Kuna mtu ameshawahi kununua? Tunaomba uzoefu juu ya hili

    Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
  2. winnerian

    Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  3. K

    Kwa wenye uzoefu na kuagiza mizigo Dubai

    Naleta kwenu wana JamiiForums Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai kuja Tanzania tupeane experience japo kidogo EXPERIENCE HUSANI KATIKA; • Masoko: ni masoko yapi maarufu kwa kuuza nguo,mikoba, electronics devices,simu used nk • Platform: ni online platform gani...
  4. Sky Eclat

    SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  5. Mbagala stendi

    Tupeane uzoefu kuhusu nanotechnology -nano medicine

    Assalamualaikum. Natumaini wote ni wazima wa afya. Leo napenda niongelee swala moja linalo litikisa dunia na ulimwengu kiujumla katika pitapita zangu za kuongeza maarifa nikavutiwa na hii mada. Bila kupoteza muda twende moja kwa moja katika dhima yetu. Nanotechnology hi ni technolojia ngeni...
  6. G

    Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  7. Top gun maverick

    Natafuta uzoefu wa matumizi ya CCTV CAMERA

    Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na courseweb kupata basics ya knowledge ya kuinstall na kufunga CCTV CAMERA. Ila practical bado siko vizuri...
  8. mshale21

    Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

    wakuu natumai hamjambo! Kama jinsi ilivyoada, kila mtu anatamani kuwa na mahali pake binafsi pa kuishi yeye na family yake, ingawa kwa upande mmoja kwa baadhi ya watu hili suala si changamoto kwao kwa sababu ya uzoefu ama mfuko umekaa njema kiuchumi, lakini kwa upande mwingine kwa watu aina...
  9. S

    Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  10. Burungutu lebba

    Mwenye uzoefu na Certified Cognitive Report kama interview

    Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo… Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited...
  11. Mr Dudumizi

    Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  12. Naanto Mushi

    Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

    Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua...
  13. World Logistics Company

    Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa nafaka za mahindi uliagizwa na mteja wetu wiki kadhaa zilizopita. Mzigo huu ulitokea nchini India na...
  14. Munirah seiph

    Nina uzoefu wa kazi za usekretari, natafuta Ajira

    Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na...
  15. The Good

    #COVID19 Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka tarehe ya leo katika kituo nilichochagua Nilipofika kituoni nikakuta hawana taarifa yoyote ya...
  16. Mshana Jr

    Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Uliwahi kurogwa? Uliwahi kuroga? Una chale mwilini? Ulisimuliwa tuu? Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka? Ulishawahi kudalaliwa? Ulishawahi kutapeliwa? Una hirizi? Ulishawahi kunyweshwa kombe? Ulishawahi kuzikiri uchi? Makaburini? Ulishawahi kuvunja nazi njia panda? Nknk Uzoefu...
  17. KasomaJr

    Msaada kwa mwenye uzoefu kupata US- Visa

    Hbari waja-Jamii Forum, Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
  18. jingalao

    Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  19. Chizi Maarifa

    Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  20. Kukudume2013

    Ushauri: Ana CPA analipwa laki tatu anataka aache kazi

    Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri...
Back
Top Bottom