Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.
Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya wahitimu kwenda VETA kupata ujuzi wa kujiajiri. Ni ushauri mzuri na wenye kutoa picha kubwa ya...
JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
Na Gaspary Charles
SERIKALI imekuwa ikitumia gharama nyingi sana kuwapeleka wahitimu wa kidato cha VI kila mwaka kujiunga na mafunzo ya muda mfupi kwenye Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini ukiangalia kwa jicho la ziada ni kama mpango huu licha ya nia yake njema kuwafundisha uzalendo vijana...
Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri.
Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023.
BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA mwaka wa 2023
Orodha hiyo imetolewa leo Jumanne Desemba 20, 2022 ambayo ni ya...
Habari zenu wadau.
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima.
Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya.
Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60..
Ikumbukwe...
Dar es Salaam. Serikali imefafanua kuhusu kupinda kwa daraja la juu la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa eneo la taa za Veta - Chang'ombe ikisema limejengwa hivyo kutokana na usanifu wake.
Akizungumza leo Novemba 15 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa...
RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA.
- Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo mezindua chuo Cha ufundi stadi na huduma VETA Mkoa wa Kagera ambacho Ujenzi...
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
hali
hayati
jpm
kibanda
kina
kisasa
kuchunguza
laki tano
majaliwa
milioni
miradi
miradi mikubwa
mlinzi
ofisi
picha
takukuru
tozo
ujenzi
umerudi
veta
wakamatwe
wote
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera
Na mwandishi wetu, Kagera
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
Kuna mbinu nzuri na rahisi inaweza kutumika, hii itaokoa mabilioni tunayotumia kuagiza battery nje ya nchi, pia itatoa ajira maelfu kwa maelfu.
Akina Binslum wanaweza kuzimia kwa pressure baada ya kutizama hii video hapo chini.
Na WyEST, MOROGORO
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu.
Mhe. Kipanga ameyasema...
Na Malenja jr
Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
Taarifa zetu za Uchunguzi zinaonyesha kwamba Chuo cha Ufundi cha Taifa (VETA), kwa sasa ndio Taasisi duni kabisa miongoni mwa Taasisi kongwe za serikali ya Tanzania, zipo habari kwamba kwa sasa VETA inaweza kuahirisha mitihani kutokana na kukatika kwa umeme tu, hii ni kwa sababu hawana jenereta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.