veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Nataka kusoma kozi ya civil draught VETA

    Habari za mchana ndugu zangu, Baada ya hizi changamoto za ajira nimeona ni bora niende VETA nikawe hata na fani maana nina diploma ya utawala, sasa nimeona ni bora niende hata VETA nikapige level 1 had 2 ikibidi kwa kozi ya civil draught kuliko kwenda degree. Ndugu zangu naombeni ushauri je...
  2. Jamii Opportunities

    COOK II (3 POST) at Vocational Educational and Training Authority (VETA)

    POST COOK II – 3 POST EMPLOYER Vocational Educational and Training Authority (VETA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To inspect food preparation and serving areas to ensure observance of safe, sanitary food-handling practices; ii. To...
  3. Jamii Opportunities

    Assistant Vocational Teacher – Agro - Mechanics(re-advertised) at VETA - 2 Posts

    POST ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – AGRO – MECHANICS(RE-ADVERTISED) – 2 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Vocational Educational and Training Authority (VETA) APPLICATION TIMELINE: 2022-05-24 2022-06-06 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
  4. mbuyake

    Aende kozi ipi kati ya Lab Assistance ya VETA au Health Information Technolog ya NACTE

    Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information technolog chuo furan dar je ipi ina fursa ya kujiajiri kati ya hizo?
  5. D

    Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Wakuu habari, Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
  6. N

    Ofisi ya Waziri Mkuu inachezea akili za wanetu mafunzo VETA kila MWaka

    Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu. Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
  7. Mparee2

    Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  8. Corluka Neven

    Long course ya umeme ya VETA Chang'ombe inachukua miaka mingapi?

    Jamani naomba kuuliza? Long course ya umeme ya veta chang'ombe inachukua miaka mingapi? Hapa nikimaanisha hadi level 2. Na mwaka huu wanaanza mwezi wa ngapi? Pia nahitaji kujua Ada yake sh ngapi?
  9. deemax11

    Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  10. K

    Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

    Habari wana JF, Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA)

    Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
  12. K

    VETA na wizara husika msifanye maamuzi ya kukurupuka

    Habari za jioni wakuu, Hii kitu inaudhi sanaaa, yaani wanafunzi wametengeneza project zao kwa gharama halafu mnakuja ghafla tu eti mwaka huu hakutakua na project . Hivi mlikuwa wapi muda woote huo mpaka wanafunzi wametumia gharama zao ndio mnakuja kusitisha hivyo Hivi...
  13. Sky Eclat

    Elimu ya kulea wagonjwa na wazee ifundishwe VETA uhitaji unaingezeka

    Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku. Kutokana na uhaba wa...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

    Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
  15. mrMaco

    Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho. Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
  16. Doctor Mama Amon

    Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  17. Chris wood

    Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

    Kwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi Mungu Rais wetu mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani. Sijui mzee wetu Kikwete uliwezaje, maana ajira za kumwaga ulizokuwa ukitoa miaka 6 kurudi nyuma kwa kaka na Dada zetu leo kwa namna moja...
Back
Top Bottom