vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kyambamasimbi

    Mnaomsema vibaya Hayati Magufuli kuweni na akiba ya maneno, kuna kesho

    Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
  2. GENTAMYCINE

    Unakufa kwa Mwarabu tarehe 16 Oktoba, 2022 na Unakufa vibaya kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022

    Anzeni sasa kujiandaa kulaumiana kwani leo kwa kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan, lakini unaenda kufungwa vibaya Tanzania kwa Mkapa tarehe 23 Oktoba, 2022. Nikisema jambo hapa niamini 99.9%.
  3. S

    Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  4. Mystery

    Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  5. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  6. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe naona unaanza vibaya na utapotea mapema

    "Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra). *Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu ya Royal Tour na Rais Samia walitakiwa wamjumuishe na Mchezaji bora Tanzania nzima tena akitokea...
  7. M

    Mchambuzi wa EFM Wilson Prima: Msemaji Ally Kamwe kaanza vibaya Haji Manara siyo na hatokuwa Mshabiki wa Yanga SC

    "Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake'...
  8. Nyankurungu2020

    Tundu Lissu hukujua kuwa wanasiasa ni wanafiki? Angalia wanafiki leo hii wapo meza moja na vibaraka wa mabeberu. Walikutumia vibaya kubwatuka

    Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki. Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno. Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika. Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo. Wakamtumia Lissu...
  9. N

    Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  10. JanguKamaJangu

    Mke mwenye miaka 15 aumizwa vibaya na mume kisa kumwaga dawa ya mbuzi

    Mesoni Kashiro (15) Mkazi wa kijiji cha Gelailumbwa, kata ya Gelailumbwa, tarafa ya Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha, ameshambuliwa na mume wake Namendea Lesiria kwa kushirikiana na rafiki yake ambaye jina halijafahamika kwa kosa la kumwaga dawa ya mfugo aina ya mbuzi. Ofisa Ustawi wa...
  11. GENTAMYCINE

    GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  12. M

    Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

    Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
  13. BONGO 3D

    Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha...
  14. S

    Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

    Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
  15. Sijali

    Si vibaya kuajiri akili kubwa kutoka nje!

    Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri katika Wizara na sekta nyingi Tanzania. Ukichunguza vizuri utaona mapungufu hayo kwa kweli yanatokana na...
  16. B

    Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

    Huku tozo, kule kina Simbachawene. Huku dhuluma, watuhumiwa wakuu vyombo vya dola. Haki hamna, masanduku ya kura hayaheshimiwi. Mambo lukumba lukumba, tunatokaje hapa? Muhimu tukatambua hatutatoka hapa bila kulipa gharama ambayo haitakuwa ndogo. Hatutatoka hapa bila organization wala uongozi...
  17. Vishu Mtata

    Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  18. S

    Marekani: Howitzer za Ufaransa (CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zateketezwa vibaya mno Ukraine kwa artillery ya Urusi

    Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine. Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
  19. T

    Kuongoza Taifa ni Maarifa wala sio vijembe, kunangana na kuwasema vibaya watangulizi wako

    Kiongozi wa Taifa lolote lile lililo fanikiwa kiuchumi na kimaendeleo basi huyo nikiongozi mwenye maarifa. Ningumu sana kwa kiongozi wa Taifa lolote lile duniani kuwa namafanikio chanya kama hatokuwa na maarifa na maono ya taifa analiongoza. Kiongozi nilazima uwe na maono na maarifa...
  20. M

    Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

    Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Back
Top Bottom