Kuna wakati, niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Barrick, nikiwa senior officer.
Tukataarifiwa kuwa plant imesimama, kuna kikao cha dharula. Kusimama plant kwa mgodi mkubwa siyo jambo dogo. Ndani ya saa moja, Head Office, Toronto ilikuwa tayari imejulishwa.
Kwenye kikao tukajulishwa kuwa...