vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
  2. Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  3. Nimemsikia vibaya Mwenyewe au?

    "Daima Mbwele Nyuma Mbwiko" Kudadadeki zenu Waajentina Wote.
  4. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  5. Musukuma: Mtakufa vibaya, lazima niwaroge

    Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu. Musukuma pia ameongelea Maliasili kukamata ng'ombe za wafugaji akidai anashangazwa baada ya minada kufanyika wahusika nao wanaanza...
  6. Watu wote wanaomsema vibaya Hayati Magufuli ni waongo wakubwa

    Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli. Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa. What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe...
  7. Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  8. M

    TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  9. Uhuru Kenyatta: Polisi acheni kutumika vibaya na Serikali

    Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali. Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi. Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
  10. Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

    Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena? Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
  11. Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

    Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho! Mkiambiwa hamna akili mnanuna!
  12. Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  13. T

    Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  14. Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike) In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
  15. Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  16. Mpwayungu Village, kuwasema vibaya walimu na kuwatukana hakusaidii kuboresha maisha yao. Toa solution wafanye nini ili wafanikiwe?

    Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote. Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
  17. VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

    Terrible fall.
  18. Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini. Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
  19. Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

    M23 aisee ni shida! huko vitani wanatwanga na kwa jamii wanaonesha kitu inaitwa leadership kwa raia!.🤣🤣
  20. D

    Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…