Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana.
Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa...