video

  1. The Assassin

    Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  2. Eli Cohen

    Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

    Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface. Alivutia sana watalii pale...
  3. Mindyou

    Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  4. The Watchman

    Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
  5. holoholo

    Uzi maalumu wa video za vichekesho;tupia video yako

    Wakuu`huu uzi ni maalumu kwa video za kuchekesho,vioja na video fikrishi
  6. Lycaon pictus

    Video hii ni fake. AI imefika pabaya sana.

    https://youtube.com/shorts/MSt3ulTfcb4?si=UI9WsdIJxfArjaif
  7. Determinantor

    Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  8. Mindyou

    Pre GE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  9. Chizi Maarifa

    Video: Saleh Jembe, Saleh Jembe, Saleh Jembe. Nimekuita mara tatu. Jiangalie

    Msikilize mwenyewe. Hii Nchi ishakuwa ngumu sasa.
  10. M

    Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  11. OMOYOGWANE

    AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  13. BabaMorgan

    Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  15. F

    Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

    Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
  16. R

    Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  17. sinza pazuri

    Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  18. The Watchman

    KWELI Video hii inayoonesha familia moja ikiwa juu ya mamba imetengenezwa

    Wakuu nimekutana na hii video inayoonesha familia ikiwa juu ya Mamba na vitu vyao kwenye mto, pia inadaiwa ni huko Goma, DRC. JamiiCheck naomba mtusaidie kupata uhalisia wa video hii.
  19. SAYVILLE

    Hii video ya Zawadi Mauya imenifikirisha saana

    Kuna mahojiano ya Zawadi Mauya baada ya mechi ya Yanga dhidi ya timu yake ya KenGold. Kuna mambo kama matatu hivi yalitokea yamenifikirisha sana. Kwanza, Zawadi alisema KenGold ilijiandaa kutumia wachezaji wake kadhaa lakini ikashindikana kutokana na kwamba wamecheleweshewa vibali. Nimeshangaa...
  20. The Palm Beach

    Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
Back
Top Bottom