video

  1. Minjingu Jingu

    Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  2. Waufukweni

    VIDEO: Watoto hawa wanatrend Afrika, wateka Mioyo ya wengi – umejifunza nini?

    Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
  3. Dialogist

    Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

    Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti " Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika... Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
  4. Mtu Asiyejulikana

    Video: Kuhusu team yangu ya Yanga. Huyu atafutwe kabisa

    Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
  5. MamaSamia2025

    Tazama hizi video 3 ili ukiri kuwa bado wazee kama Wasira wanahitajika kwenye uongozi wa nchi yetu.

    Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu. https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
  6. CM 1774858

    David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

    === Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania, Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
  7. blogger

    Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  8. FRANCIS DA DON

    Video clip: Huu msafara wa kijeshi ndani ya DRC ni wa nchi gani? Na unaelekea jimbo lipi?

    Video hiyo hapo chini, inaonyesha msafara wa magari ya kivita yenye urefu wa kilometa 6, ukiangalia huoni mwisho. Ni jeshi la nchi gani hili?! https://www.instagram.com/reel/DFiC5DAtOZF/?igsh=MXR2cXIzNDI0NDR2eQ==
  9. Minjingu Jingu

    Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  10. Eli Cohen

    Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

    https://youtu.be/CC6XA5sI2ds?si=c7E0JJ-KkqyzA3JH
  11. milele amina

    Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  12. Tajiri Sinabay

    Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

    Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi Mshana Jr
  13. JamiiCheck

    POTOSHI Video hii inayomuonesha Rais Donald Trump akifuatiwa na mtu mrefu isivyo kawaida

    Video hii inayomuonesha Rais Donald Trump wa Marekani akifuatiwa na mtu mrefu ni halisi au imetengenezwa?
  14. Ritz

    Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  15. Colonialism

    Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa. Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa...
  16. Patriot missile

    Video: wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie haya

    === Haya maneno ya huyu kijana natamani wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wayasikie hata kama hawana smartphone wapelekeeni wasikilize.
  17. LIKUD

    Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
  18. The Watchman

    Pre GE2025 Video: Lissu amchabanga mwandishi wa Clouds, 'unaonekana hufuatilii kabisa maneno ninayozungumza na Media'

    Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika...
  19. MK254

    Video: Hii elimu kwa watoto wa kiislamu namna ya kukata vichwa, haifanyi kuwa makatili

    Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
  20. The Supreme Conqueror

    Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi

    Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida. Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa...
Back
Top Bottom