Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
Video Courtesy: SK Media Online TV
➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini huu haustahili kuitwa uchaguzi bali "operesheni nyakua madaraka"
➡ Huu haukuwa uchaguzi bali...
Wakuu,
Wanawake wa Kenya mnakwama wapi?
Ni excitement au despration ya kuingia ndoani?
Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini.
JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI
Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
Wakuu katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video ambayo inasemekana kuwa ni ya Uganda na mwanamke mmoja anaonekana kumpiga kofi polisi, je kuna uhalia upi hapa wakuu?
Wakuu,
Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum.
Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi...
Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.
Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
https://youtu.be/LD6kvDHbIYY?si=7sv2Yv9AeEDde3Er
Uhusiano kati ya wauzaji wa silaha na vita vinavyoendelea ni mada ya mjadala mkubwa na wasiwasi. Biashara ya silaha, halali na haramu, inachukua jukumu ngumu katika kuzidisha na kusaidia migogoro kote ulimwenguni. Hapa kuna baadhi ya mambo...
Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana.
Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali kwenye nchi waliyopo yaani Canada kuna miskiti zaidi ya 500
Kwanini wafunge barabara? Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.