video

  1. Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  2. Yaliyojificha nyuma; Kuvuja kwa video za faragha za Wasichana

    Kama imetokea kutazama moja kati ya video nyingi za utupu ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni siku za hivi karibuni, hususan zile zinazohusisha chupa za soda, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwa umetazama binti ambaye ni muhanga wa vitendo vya ulaghai unaofanywa na baadhi ya wahalifu wa...
  3. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  4. W

    Msamimamizi wa 'DayCare' akamatwa kwa kutumia Watoto kutengeneza video za ngono

    Mwendeshaji wa kituo cha kulelea watoto Kiambu afikishwa mahakamani kwa kutumia watoto kutengeneza video za ngono Mwanamke anayesimamia kituo cha kulelea watoto katika Soko la Wangige, Kaunti ya Kiambu, amekamatwa kwa tuhuma za kuwadhulumu kingono watoto wadogo. Kulingana na nyaraka za...
  5. M

    Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
  6. Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  7. H

    Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  8. Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  9. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  10. S

    Video: Lema ampa somo Rais Samia kufuatia hotuba yake

    Msikilize hapa: https://www.youtube.com/watch?v=HdbNNTiNp_Q&pp=ygUNZ29kYmxlc3MgbGVtYQ%3D%3D
  11. Content Creators mnaoanza (Episode II): Unajua kuset mwanga vizuri unavyorecord video za ndani?

    Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu. Tufanye sisi ni content creator tunaoongelea mambo ya mapishi. Sasa tuanze kuset mazingira yetu ya kurecord. Tutaweka story katika...
  12. Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
  13. Tyla awaburuza Chris Brown, Burna Boy na Usher tuzo za MTV Video Music Awards 2024

    Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
  14. T

    SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  15. Hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kurekodi video clip ya mtu akitekwa ?

    Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?! Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa...
  16. Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  17. Video: Msikilize Sheikh Saleh Zagar

  18. TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…