video

  1. Superbug

    Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

    Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
  2. MwananchiOG

    Tazama magoli katika video hizi mbili kisha eleza umegundua nini?

    Ukitazama kwa makini utagundua hawakukosea kumuita 'Think tank'
  3. Blood of Jesus

    Video: Yanayoendelea huko CCM

    Haya hapa
  4. Msanii

    Watanzania wanaanza kuzinduka, wasema serikali ikachaguliwe na tembo kwakuwa wanawathamini sana kuliko wao

    Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
  5. G

    TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

    Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
  6. and 300

    Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

    Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka. NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.
  7. R

    Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha

    Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha Tunatafuta mtu mwenye kipaji na ubunifu kwa ajili ya nafasi ya Content Creator wa Video na Picha. Kazi hii inahitaji mtu mwenye ujuzi wa kuunda na kuhariri maudhui ya kuvutia kwa njia ya video na picha. Mahitaji: Uzoefu katika kurekodi na...
  8. Kinyungu

    Video: Radi yapiga Jengo la Mekkah Clock Tower

    Video ikionesha radi ikipiga jengo la Makkah Clock tower. Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho? adriz Maghayo Kosugi https://x.com/BRICSinfo/status/1828454013852905681?t=nDRuVs0Jjy6m0hj2bGc7HA&s=19
  9. Inside10

    CRDB wakiona hii video ya konde boi mjeshi akicheza lazima wapanic.

    Maana ana cheza kanakwamba sio mdaiwa sugu😂😂🤣 https://x.com/Kirikuu20/status/1828029275099828561?t=zYCmozjIC-s5EIqEyeBhCA&s=19
  10. A

    Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

    Tumewahi kuzipiga launcher. Haya Hezbullah anawaibisha sasa. https://youtu.be/8RZ2iquG8Vk?si=A_nyuk_9ttfL8m1T Pia kapiga Navy ya Israel https://youtu.be/fnEOBamOMe8?si=kBHSp6JILmrzytkW Pia wamepiga target muhimu sana Tela Aviv. Israel wanaficha na uwongo wao wa kusema Hezbullah karusha...
  11. Msanii

    Pre GE2025 CCM haijawahi kukanusha hizi kauli(video)

    Tuelewane CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata kata ya maji CCM imejionesha kwenye sakata la TotoCard za NHIF CCM imejionesha vyema kwenye mkataba...
  12. Vedasto Leopold

    Video ndefu facebook

    Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
  13. JanguKamaJangu

    Wakili Komba asema "Kwa jicho la kawaida ushahidi wa video unaonekana unatosha kuwatia hatiani 'Waliotumwa na Afande'

    MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA WATIWE HATIANI:- 1. Je, binti aliyebakwa na kulawitiwa anawatambua washitakiwa wote wanne...
  14. Komeo Lachuma

    Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  15. Suley2019

    SI KWELI Video ya ndege ya Brazili muda mchache kabla ya kupata ajali

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii video ikidai ni tukio la kweli kuhusu ajali ya ndege nchini Brazil. Kuna ukweli?
  16. FRANCIS DA DON

    Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  17. Ziroseventytwo

    SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia. Nimepita kwenye baadhi ya mitandao sijaona hilo tukio. Hili tukio ni la kweli na kama ni la kweli, lilitokea lini? Video husika Picha ya...
  18. G

    Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  19. Ritz

    Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

    Wanaukumbi, Angalia hizo video Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo. Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen. Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa...
  20. Inside10

    Pre GE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
Back
Top Bottom