With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu...
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
Salam wana jukwaa.
Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia.
Je, ni kweli mtu...
Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri.
Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni
https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
Kristu ni tumaini letu
Tumsifu yesu kristu Milele Amina
Kesho ni Jumapili nyingine nawakumbusha waumini kuja
Na matolea maalumu.
Pamoja na sadaka ya kuwategemeza maketesta wetu na walei.
Tumsifu yesu kristu.
Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza?
Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
Wanaukumbi.
Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka...
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao?
Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO
https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4
Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii.
---
Mafuriko...
Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes .
Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura.
Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.