Je, tuliambiwa kinachoendelea South Africa ni AI na video za zamani, je Bado Kauli hio inasimama?

Je, tuliambiwa kinachoendelea South Africa ni AI na video za zamani, je Bado Kauli hio inasimama?

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje.

Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea, foreigners wanapigwa, Mozambique, Nigeria, na nchi nyingine wananchi wanaomba kurudi makwao mana Hali si Hali ..nikamuuliza Askofu kua tuliambiwa kua AFRIKA KUSINI NI SALAMA Hadi na clip machawa wakatutengenezea.

Ni kutokujielewa ama ni magonjwa ya akili?

Tumsifu Yesu Kristu !
Kristu Tumaini Letu
 
Ni kama wamebarikiwa na serikali yao, na polisi wanawasindikiza wakapige na kuua raia wa nchi zingine za Afrika
Mabaharia kwa kweli warudi tu
 
Back
Top Bottom