Habarini ya kazi.
Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
Habari za wakati huu?
Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki
Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina ya Sato (Nile Tilapia)
Mbegu zetu ni nzuri Sana kwanza kabisa wana-uniform size, samaki wanakuwa...
Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi...
Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga hudondoka na kuiaga dunia!
Mwenye uelewa anisaidie, huo ni ugonjwa gani, unatibiwaje! MSAADA WA...
Kwa mahitaji ya vifaranga vya broiler wasiliana nasi. kampuni Mkuza, Organia, kibo ofisi zetu zipo banana ukonga vifaranga wetu ni wazuri na afya njema week 4 unaingiza sokoni kwa sasa bei ni 160000 kwa box
ila bei inabadilika kulingana na soko pia ukihitaji chotara wa pure kroiler wanapatika...
Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali.
Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA!
1.0 Utangulizi
1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
2) Ndio maana...
KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja.
Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo,Herzon Nonga akionesha Vifaranga vya kuku wa mayai vilivyozuiwa kuingia nchini,kutokuwa na vibali na cheti cha afya katika kago ya mizigo ya uwanja wa ndege wa Juliasi Nyerere,jijini Dar es Salaam jana.
Kukamatwa kwa vifaranga vilivyokuwa vikiingizwa nchini...
Licha ya Serikali kuagiza vifaranga vya kuku 62,730 wa mayai vilivyoingizwa nchini virudishwe Ubelgiji, inadaiwa hadi sasa bado havijaondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Vifaranga hivyo vilivyoingizwa nchini Desemba 22 na kampuni ya Phoenix Farms Limited, vilizuiliwa...
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja na cheti cha afya.
Vifaranga hivyo ambavyo ni mali ya kampuni ya Phoenix Farms Limited ya Mkuranga...
Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
Chama cha Madaktari wa Wanyama Tanzania (TVA) kimetoa taarifa ya kupinga na kuonesha kusikitishwa kwake juu ya kitendo cha Kampuni ya Uzalishaji Vifaranga wa Kuku ya Kibo Poultry kuteketeza Vifaranga 50,000 hadharani kwa madai ya kukosa soko.
TVA wamesema pamoja na kutambua matakwa ya Kanuni za...
Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa...
Kupanda kwa gharama za uzalishaji kumesababisha kupanda kwa bei ya kifaranga cha kuku kwa Sh300 kutoka Sh1,800 hadi 2,100, hivyo kutishia mustakabali wa wafugaji.
Inaelezwa ongezeko hilo la bei lilianza kushuhudiwa tangu Juni, hali inayowaweka wafugaji katika wakati mgumu kiasi cha baadhi yao...
Nauz vifaranga vya bata aina mbali mbali Kama vile bata Bukini, jumbo perkin, ruen, Indian runner .
Na pia nauza bata wa Kienyeji ( Muscovy)
Napatikana CHANIKA KWA SINGA
Call 0783 29 11 07
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.