Habari za wakati huu
Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje.
Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
Kwa mujibu wa uongozi wa soko la kuku Shekilango na Manzese ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa kuku wa kisasa (broiler) sokoni hali inayopelekea wauza chips kutatizika
Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi
Source: ITV habari
Afisa Mifugo Mkoa wa Dar es Salaam Odetha Mchunguzi, amethibitisha kukosekana kwa kuku na kueleza kuwa hali hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya vyakula vya kuku na zuio la Serikali la uingizaji wa vifaranga kutoka nje.
Uhaba huo kwenye masoko makubwa ya kuku ya Shekilango na Mwananyamala...
Nauza vifaranga (vijogoo)
vya umri zaidi ya wiki 2.
vifaranga vina chanjo
viko Mtoni Kijichi, Dar.
". kwa idadi na bei pigs 0754573036 au nitumie PM message
Cage za kuku wa mayai.
Layers Cage.
¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%.
²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai.
³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Kwa mahitaji ya bata na vifaranga vya
bata bukin
Mallard
Jumbo perkin
Khaki Campbell
Indian runner
Ruen
Wanapatikana CHANIKA KWA SINGA, ILALA
DAR ES SALAM
Call: 0746 696878
Instagram: ILUNDA FARM
FACEBOOK: MABATA DAR
Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.
Karibuni!
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.
1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga kitotolewacho.
2. Bei huwa sh ngapi na bei hutolewa kwa kila yai au trei nzima.
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!
Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi
Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili
Mh. Samia...
Wakuu salaam Sana,
Baada ya kuchoshwa na ajira nikaamua nirekebishe maBanda nianze kufuga Hawa kuku wa week nne (broilers) ila Sasa nimekuja kukwama baada ya kusaka vigaranga bila mafanikio na kuna makampuni ukiwapigia wanakuambia hawana vifaranga ila utasikia siku flani wameuza Sasa siajua...
Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi.
Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
Leo katika taarifa ya habari ya ITV saa 08:00pm wametoa taarifa ya mfanyabiashara huko Morogoro kukamatwa na mabox 200 yenye vifaranga vyenye thamani ya TZS 40M vilivyoingizwa nchini kinyemela kutoka Kenya.
Mwandishi amemhoji mtaalam husika wa Serikali Ni nini kitafuata baada ya ukamataji huu...
Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka.
Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu.
Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
Habarin wakuu,
Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji.
Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata.
Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.