Habari,
Ninauza vifaranga wa Bata BUKINI wa MWEZI na nusu.
Wamebaki watatu... Dume moja na jike mbili.
Bei Ni tsh. 30,000@ kwa rejareja na tsh. 25,000@ kwa jumla.
Wapo maeneo ya kiboriloni, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Wakuu salam kwenu,
Nimeanza kufuga kuku wachache ,ila shida imekuja walipoanza kutotoa, vifaranga wanashusha mabawa na kufa, nimeuliza nikaambiwa ni pumba inawakaba, mwingine akaniambia ni gombora au baridi. Naombeni ushauri wa mawazo na utaalamu nini nifanye ili vifaranga wapone.
Ni kuku wa...
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora
Kwanza kabisa napenda...
Habari za jioni wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Natotolesha mayai ya kuku 10000 kwa trei, tunauza vifaranga vya kuroiler na pure kienyeji, pia nakukua wanyama 200 wako tayari kwa biashara, nauza bata (Muscovy)
Napatikana Chanika kwa Singa, namba zangu ni 0746696878.
Karibu sana
Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler
Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks
Tupo Busweru, Mwanza
tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk
Bei za vifaranga:
Umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.