Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko
Brazil imerekodi visa vipya 18,172 na vifo 615 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya
=======...