Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023.
Kanali Issa Bangura alisema amesema waliouawa ni pamoja na Wanajeshi 13, washambuliaji watatu, pamoja na Afisa wa Polisi, raia...