Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu...