Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali.
Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
Naomba msaada wa mawazo ndugu zangu wana JF. Mawazo yenu yana faida kubwa sana. Ni mara ya pili naandika uzi unaofanana na huu lakini mara ya kwanza niliambulia patupu. Sikupata mchango wenu kabisa. Niliumia kidogo lakini nina desturi ya kutokukata tamaa.
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji, Manispaa, Miji na Halmashauri ni nguzo muhimu sana katika kubuni, kusimamia na kutekeleza majukumu yote ya eneo analosimamia. Mkurugenzi Mtendaji awe ni mtu aliyebobea katika masomo yake, ujuzi na kwa kweli ni mtu ambaye anapaswa kuwa amekulia katika Halmashauri au...
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Wakuu habari za kazi
Nilikuwa naomba msaada wa kufahamu vigezo vipi na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha kampuni ya plates numbers manufacturing kwa hapa Tanzania.
Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa.
Natafuta kazi...
Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :Passed nne(D) na kuendelea,wahi haraka kwani nafasi hazitabiriki. fika chuoni hapo au ntafute kwa maelekezo zaid.
====...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.