Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada
...
Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada
October 10, 2021
2.4kShares
A Perfect Time to see Insight of Fully Funded...
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.
Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?
Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
Mtaani kuna graduates wengi sana
wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi...
Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa!
Elimu Masters of science in Finance
Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi)
Umri 33 sina mtoto
Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65
Uzito Kg 73.
Kipato Monthly income 2300-3000$
natafta Mke wa Kuoa ambaye...
Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote zina game played 0 na point0? Niimeuliza hivi baada ya kuona msimamo wa ligi yetu kwa msimu mpya ujao...
Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe!
Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
"Tunaweza kumpatia uongozi na madaraka mwanaume mlevi, lakini hatuwezi kumpa madaraka kama hayo mwanamke akiwa mlevi" Mwl. J.K Nyerere
Mwalimu alimaanisha tunapotaka kutoa madaraka kwa wanawake lazima vigezo viwe tofauti na wanaume! Kwa wanawake vigezo vinakua vingi zaidi
Lakini mimi sijaona...
Habari za wakati huu wanajamii.
Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake.
1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre?
2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters uwe na at least GPA ya 4.
Sasa huyu alipata GPA 3.2 first degree , kisha akafanya Masters akapata...
Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
Habari zenu ndugu zangu, mimi kama mjasiriamali naweza kufanya kazi na kampuni (kwa kutoa huduma kwa makapuni na mashirika) as an individual? au lazima pia niwe na kampuni ndipo wanaweza ku consider proposal yangu?
Taratibu za mashirika na makapuni zikoje katika kufanya kazi na watu wanaotoa...
Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery.
Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.
Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?
2.ufaulu kiasi gani?
3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?
4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.
NAWAKILISHA.
Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu...
1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje?
2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa waseme wewe umepita bila kupingwa wakashauriwa mtaharibu.
Sasa hao mluopitisha imekuwaje hawana vigezo...
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani.
Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
Bila ya kuwa na chuki na mtu yeyote, ukweli ni kwamba Mama Samia ana bahati kubwa kwenye utawala wake.
Bahati yake kubwa ni utawala uliomtangulia. Utawala uliomtangulia ulikuwa ni utawala wa chuma, ulikuwa ni utawala ulioumiza wengi. Hivyo, yeye akifanya jambo kidogo tu la kuwaletea nafuu wale...
Mkeka wa wakuu wa wilaya umetoka walioteuliwa wameonekana ambapo wengi ni watangazaji, wasanii, waigizaji na wengi ni vijana kweli.
Swali la msingi sio kuteuliwa bali ni je wamefanyiwa vetting kujua elimu yao, uwezo, tabia, mienendo, uzoefu, busara, hekima na makandondokando yao mengine na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.