vigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kama huna Vigezo, hii Dunia utakuwa msindikizaji na kulialia!

    Kwema Wakuu! Kwa miaka michache niliyopata kuishi Duniani niliweza kugundua kuwa hii dunia ina vigezo na masharti vinavyozingatiwa, ukiwa huna Vigezo hivyo na Kama hutofuata masharti jua utaendelea kubaki kulialia na kuwa msindikizaji. Dunia inatisha Ila nilikuambia usiogope. Tangu nikiwa...
  3. and 300

    Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  4. FaizaFoxy

    Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  5. Lanlady

    Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  6. D

    Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Wakuu habari, Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
  7. muu00

    Mwanamke mwenye vigezo hivi ukuje plzz

    HABARI NAITWA MUU NAISHI KIGAMBONI NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA AWE MWENYE MWONEKANO MZURI NA UMBOZURI LAKUNIVUTIA AWE HAJAZAA KUANZIA UMRI WA MIAKA 18 MBAKA 32 MWEUSI AMA MWEUPE NISAWA AWE MUISLAM NA AWE TAYAR KUOLEWA SIITAJI MWANAMKE MUHUNI NIKO SERIOUS muqrim01@gmail.com
  8. Teko Modise

    Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  9. M

    Watanzania hatujui wajibu wa Viongozi wetu, au tumeweka vigezo vya chini kuwapima

    Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili! Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
  10. Jidu La Mabambasi

    Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  11. Jadda

    Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?

    Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?
  12. beth

    Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  13. S

    Tuupime weledi wa NDUGAI kwa vigezo viwili vifuatavyo:

    Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo: 1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya kupindukia ya fedha za umma? NB: Trilioni 1.5 aliyohoji Zitto nayo je? 2.Kama lengo ni uwazi wa mkopo...
  14. Nasibunduki

    Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

    Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani? Naomba msaada wenu wanajamvi
  15. Mung Chris

    Nahitaji gari Carina ti yenye vigezo vifuatavyo

    Nahitaji Carina Ti ambayo Ni namba C au D Iwe haijawahi pata ajali -Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
  16. masopakyindi

    PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

    Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno. Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers...
  17. Suzy Elias

    Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

    Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
  18. Frumence M Kyauke

    Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  19. T

    Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  20. Miss Zomboko

    Vigezo vinavyotumika kubainisha viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu

    Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa bidhaa mbalimbali na kupelekea wananchi kukosa huduma bora za kijamii. Katika Uchambuzi wa ripoti...
Back
Top Bottom