Hello jamaa zangu,
Tumaini langu mnaendelea vizuri.
Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.
Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar?
2. Kwanini ni ngumu ajira za Zanzibar kuhusisha Watanganyika?
3. Kwanini wana rais wao na bendera yao?
4. Kwanini wana taasisi zao zinazojitegemea kama mahakama...
Mpaka sasa sijajua ni kigezo kipi kilimpa Uwaziri wa kilimo kwa sababu ni moja ya Mawaziri wa hovyo sana wanao shinda kutafuta sifa.
Bashe aliruhusu mahindi yaende sana nje, na kwa sasa cha ajabu Wakulima ndio wabao lia njaaa, na wenye mahindi ni Madalali.
Sehemu kama Arusha gunia ni sh 150...
Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo?
Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina mpaka na Urusi wenye kilomita 1,271.8 km, hiyo ni zaidi ya umbali wa Dar hadi Kigoma au Dar hadi...
Wanabodi,
Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe 'ujitambulishe', 'wakujue' ndio utapata kura za wajumbe!. Kusema ukweli, mimi sikumuona mjumbe yoyote...
Salaam wanajukwaa
Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu.
Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu la kila mshiriki? na ili mtu aridhike ni dhana tegemezi au shirikishi? Mwenye kipimo Cha mridhiko ni...
SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI.
Anaandika, Robert Heriel.
Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda...
Natafuta alosoma degree ya procurement (watu wawili) diploma ya secretary,na degree ya uhasibu mkoa wa Ruvuma ni pm chap!!!!!!."Tusome vizuri nilichokiandika.....mnao ni pm tuzingatie mkoa tajwa RUVUMA".
Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo.
Kwa miaka...
Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika position ile ile!
Sasa maswali ni je, huwa anazingatia Nini hasa katika teuzi za viongozi mbalimbali...
Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu
Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6 kuingia degree, katika moja ya vigezo walivyokaza ni kuhitaji aufaulu katika masomo ya hesabu ya form 6...
Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam.
Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano.
Vigezo hivyo ni:
1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza.
2. Waliohitimu mwaka mmoja...
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania.
Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.