vinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    Viti vya plastic maarufu bedsofa vinauzwa

    hivyo vya piki ni vikubwa 25,000 kwa kiti kimoja kipya ukitaka used 20,000 na hivyo vya chocolate bei yake 20,000 kwa kiti vipyaaa kama ukichukua vingi 19,000 Simu 0743257669 vipo banana derively ipooo
  2. M

    Plot4Sale Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja, Dar es Salaam

    Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja. i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan. ii. Ukubwa: 1780 sqm iii. Vina hati. iv. Bei 120m Ni hivi vyenye vidoti vya kijani. Mawasiliano: 0743-398408
  3. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  4. G

    Vifaa vya mazoezi vinauzwa

    Plates 7.5 kg x 4 5kg x 4 2.5 kg x 4 Barbell 1.5 m Dumbbells bars x 2 Gharama 300k
  5. tamuuuuu

    INAUZWA Home theater inauzwa

    Anahama,anauza home theater 320,000 Meza ya jikoni 250,000(mpya) Location Usa river Arusha Njoo PM mteja.
  6. A

    Viti vinauzwa kwa bei ya kitonga

    Habari zenu ndugu zangu, Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao. VISHAUZWA
  7. Imphuvyi

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa

    Sofa mbili, 130k kila moja Vitanda viwili, 140k kila kimoja TV solamax inchi 43, smart 400k Showcase 70k Coffee table kubwa 170k Coffee table ndogo 130k Godoro inchi 8, 5/6, 130k Godoro inchi 6, 5/6, 100k Kabati la nguo futi 4.5 300k Karibuni, ukonga majumbasita. 0696276166 Sabati la vyombo 170k
  8. R

    Viwanja vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo Mada inajieleza, viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Nyegezi-Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama Samanene, Avash, jembe ni jembe, wag hill) Viwanja vinafaa kwa makazi, hostel, beach etc Barabara, umeme na huduma za kijamii zinafikika bila shida yoyote. Ukubwa...
  9. JGimbuya

    INAUZWA Vitu vya salon ya kiume vinauzwa kwa bei rahisi

    Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga 1.Kiti cha kunyolea 220,000 2.sink la kuoshea 200,000 3.vioo viwili kila kimoja 40,000 4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000 5.kochi 60,000 Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000 6.kiti cha...
  10. H

    INAUZWA Nvidia Gt 1030 na Intel core i5 6500 vinauzwa

    Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P. -Vram 2GB Gddr5 -ulaji umeme maximum watts 30 -inaingia desktop yoyote sababu ni low profile. -ina play video 4K 60fps. Pia ipo processor ya i5...
  11. gkileo

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Turiani Morogoro

    VIWANJA, VIWANJA. viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme. Viwanja...
  12. Y

    Jiko la gesi na mtungi vinauzwa

    Hello, Nauza jiko la gesi na mtungi wake kama linavyoonekana.Havina tatizo lolote. Price: 120k Location: Rukwa
  13. Girland

    INAUZWA Office furniture for sale, vinauzwa kwa Milioni 3.9

    Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri. Pia kuna Curtain blinds mbili, zulia na Partition ya ofisi milango miwili ya Aluminium. Ofisi iko Mnazi mmoja Dar es salaam, vyote...
  14. R

    Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  15. Baba Ndubwi

    Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  16. torvic

    Viwanja vinauzwa Mbagala kongowe

    Viwanja vinauzwa mbagala kongowe Viwanja vimekatwa mara tatu ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni 10million Tsh na maongezi yapo Kwa mbaaali. Kwa mawasiliano Piga namba hizi 0688685707 0659446209...
  17. mashuka collection

    Viatu mid heels vinauzwa

    Habari nauza viatu sio virefu sana wala vifupi sana, vimevalika mara moja tu, vinapatikana Dar-es-salaam. Bei ni 20,000/ size ni 37 kubwa hata 38 anavaa. Karibuni
  18. joss1973

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
  19. C

    Makabati na mlango vinauzwa

    Makabati na mlango vinauzwa bei 1.8m maongezi yapo ukihititaji kimoja pia sawa 0685415869
  20. tpaul

    INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

    Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea. Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres). Mahali: Chamazi, karibu na Azam Complex. Inafaa kwa: Makazi na/au biashara Contact person : 0693 750 391/0711 751 197 (Mr Ngunga)
Back
Top Bottom